Kingamuzi cha itv

Hadi sasa ni Startimes, Ting na Zuku ndio wanatoa service ya kurusha matangazo kwa njia ya TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST (T-DVB) ambayo ni digital ambayo haitumuu satellite wala madishi(ingawa wanayo pia).

Swala la akina ITV na Star Tv ni la kibiashara zaidi, hawa akina Startimes na Ting na Zuku kazi yao ni kukusanya station mbali mbali za bure na za kulipia na kuziweka kwenye package zao kwaajili ya kuziuza kwa malipo ya mwezi.
Sasa kama akina ITV wakipeleka chaneli zao Startimes au Ting maana yake wao watakuwa wanalipwa sehemu ya mapato,
Wao wanachotaka ni wao pia kutafuta chaneli zingine na wao kuja na kampuni zao ambapo kibiashara inalipa zaidi

Na ndio maana TCRA imesema italazimisha kampuni zote kuhakikisha zinakuwa na chaneli zote local na ziwe free kama ilivyokuwa kwa Startimes na TBC, hata muda wa package yako unapokwisha unaendelea kuiona TBC

Kwa wanaotumia madish wao wataendelea kupeta kama kawaida
 
Utahitaji King'amuzi kimoja tu kuona chnl zote za bongo, ila kwasasa si tv station zote zimejiunga na ving'amuz
Khs wenye madishi ya zamani watahitajika kubadilisha decorder zao tu, na labda uelekeo wa madishi yao.
 
Hadi sasa ni Startimes, Ting na Zuku ndio wanatoa service ya kurusha matangazo kwa njia ya TERRESTRIAL DIGITAL VIDEO BROADCAST (T-DVB) ambayo ni digital ambayo haitumuu satellite wala madishi(ingawa wanayo pia).

Swala la akina ITV na Star Tv ni la kibiashara zaidi, hawa akina Startimes na Ting na Zuku kazi yao ni kukusanya station mbali mbali za bure na za kulipia na kuziweka kwenye package zao kwaajili ya kuziuza kwa malipo ya mwezi.
Sasa kama akina ITV wakipeleka chaneli zao Startimes au Ting maana yake wao watakuwa wanalipwa sehemu ya mapato,
Wao wanachotaka ni wao pia kutafuta chaneli zingine na wao kuja na kampuni zao ambapo kibiashara inalipa zaidi

Na ndio maana TCRA imesema italazimisha kampuni zote kuhakikisha zinakuwa na chaneli zote local na ziwe free kama ilivyokuwa kwa Startimes na TBC, hata muda wa package yako unapokwisha unaendelea kuiona TBC

Kwa wanaotumia madish wao wataendelea kupeta kama kawaida
Kaka nadhani utakuwa umechanganya mambo,hizi local channels ndizo zinatakiwa ziwalipe hawa service provaida(startimes na ting)ili chaneli zao ziwe kwenye package zao.mi kuna semina nilihudhuria iliyotolewa na tcra,kwa wamiliki wa station za tv,waliambiwa watatakiwa kuwa wanalipa kama tsh.milioni mia sita kwa mwaka!kwa kila mwenye station ya tv kulipa hayo makampuni(startimes,ting na mengine)ikaleta malalamiko sana, wadau wakasema ni kiwango kikubwa sana hawatakimudu,tcra wakasema ngoja watarijadili,sijui kama wameshalitolea ufafanusi tena.
 
Kiukweli TCRA wanatakiwa kuandaa lots of public information programs kutuelewesha jambo hili.

Ninavyo fahamu mimi, tangu tarehe 1/1/2013, vituo vyote vya TV vinageuka content provider tuu yaani waandaaji vipindi tuu na warushaji ndio hayo makampuni 4 ya multiplex providers. Hii inamaanisha hata sisi jf tunaweza kufungua JF TV na kupewa channel yetu 24/7 wakati kwa sasa ili kutangaza ni lazima ama upeleke ITV, TBC au TV zilizopo!.

Ujio wa Digital ni ukombozi mkubwa.
 
Hapohapo Pasco, hili suala kila nayeongea nae ananipa majibu tofauti! Content provider anamuuzia vipindi mwenye kituo cha TV, au anakuwa na TV yake ambayo kurusha anakodi nafasi kwa wenye transmitter za digital na leseni? Na gharama kwa mwaka ndy M600?!!!...yaani 50M kwa mwezi?..hahahaa Na je TV za kikanda hazitakuwepo?...kama mimi nataka kurusha matangazo katika zone flani tu inaweza? Maswali mengi bila majibu!
 
Hebu ITV waache Bifu za kishamba nao Pia Waingie Share na Startimes, Wananchi waendelee kupata matangazo mengi zaidi.
 
Hapohapo Pasco, hili suala kila nayeongea nae ananipa majibu tofauti! Content provider anamuuzia vipindi mwenye kituo cha TV, au anakuwa na TV yake ambayo kurusha anakodi nafasi kwa wenye transmitter za digital na leseni? Na gharama kwa mwaka ndy M600?!!!...yaani 50M kwa mwezi?..hahahaa Na je TV za kikanda hazitakuwepo?...kama mimi nataka kurusha matangazo katika zone flani tu inaweza? Maswali mengi bila majibu!
Amoeba, vituo vya TV ndio vinageuka vinageuka content provider na kulipia tx kwa hao multiplex wanne! Gharama bado sijajua ila hitaji la kupewa kibali cha kuwa content provider ni ama kuwa na production studio, au kuingia mkataba na production house.

Providers wote wanne watalazimika kurusha bure channel zote za free to air, yaani hata kingamuzi cha star time lazima kionyeshe bure tv zote za bure!.
 
Nimekuelewa mkuu, je unaweza kunisaidia kupata hizo gharama,au mawasiliano ya wahusika! Natanguliza shukrani!
 
TCRA Head OfficeTCRA Head Office
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
Mawasiliano Towers,
Plot 2005/5/1/2, Block C, Sam Nujoma Road
P.O Box 474 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2199760 - 8; +255 22 2412011 - 2
Mob: +255 784558270 - 1
Director General Direct Line +255 22 2199769
Fax: +255 22 2412009 / +255 22 2412010
E-Mail: dg@tcra.go.tz

TCRA Northern Zone OfficeTCRA Northern Zone Office
Third floor, Summit centre, Sokoine Road,
Box 15675, ARUSHA
Tel 027 2548947
E-mail: arusha@tcra.go.tz
TCRA Central Zone Office
Plot No. 7B, Block 41 Natron,Kisasa Area, Dar es Salaam Road,
Box 2229,Dodoma
Tel 026 2350021
E-mail: dodoma@tcra.go.tz

TCRA Southern Highlands Zone office
Century Plaza Bulding
1st Floor, Plot No. 2A Block O
Tunduma Road
Box 1375, MBEYA
Tel. No. 0252502940, Fax No. 0252502941
E-mail: mbeya@tcra.go.tz

TCRA Lake Zone Office
NSSF Commercial Complex
4th Floor, Plot 254 Block T, Kenyata Road
P.O Box 3108, MWANZA
Telephone 028 2505082
Fax 028 2505081
Email: mwanza@tcra.go.tz

TCRA Zanzibar Zone Office
Plot No. S/CHR 95, Chuwani area,
P. O. Box 3284, Zanzibar
Tel/Fax: 255 24 2230562
E-mail: zanzibar@tcra.go.tz

TCRA Eastern Zone Office
Mawasiliano Towers, 5th Floor (Room # 25)
Plot 2005/5/1, Block C Sinza
Sam Nujoma Road
P.O Box 33613
Dar Es Salaam
Tel: +255 (0) 784 558270
E-Mail: easternzone@tcra.go.tz

Nkushauri watembelee TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority, wameweka facts kuhusu digital migration.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom