KINGAMUZI CHA ITV na STAR.

Umesahau kama kuna sheria za biashara pia pamoja na hakimiliki ambazo zinawapa haki ITV na Star Tv kuamua ni nani wanamruhusu kutumia matangazo yao (Hasa kama mtu huyo anatumia kibiashara kama Startimes) so itv na star tv wana uwezo wa kuamua nani wanamruhusu kurusha matangazo yake kwasababu hizo ni biashara na zina business strategies zake

Sijasahau hilo mkuu wangu na ndio maana kuna sehemu nimesema "ili ifahamike ni kwanini hawapo tayari kupeleka vipindi vyao pale.....labda inawezekana ni suala la ki mkataba zaidi; wameshindwa kukubaliana terms nd condition."
 
Back
Top Bottom