King'amuzi cha Continental hakipo hewani kwa wiki mbili sasa, kulikoni?

UMBEEE

Member
Mar 5, 2014
40
16
Hili swala la king'amuzi la continental kutokuwa hewani kwa muda week mbili nani anajua undani wake?
 
Mkuu kuna facebuku page niliiona wanasema satelite inayotumika kurusha matangazo yao na ting imepotelea angani na wala uwezekano wa kuipata haupo hivyo wanahamishia ktk satelite nyingine na wanatarajia kuwa hewani ifikapo Dec,mosi.
 
Ni kweli mkuu.
 
Soma hapa upate habari zake
 
Attachments

  • 1448714670966.jpg
    1448714670966.jpg
    70.9 KB · Views: 259
Hivi mtu anapoongelea continental wewe unamwambia katibu dstv unadhani ni ujanja dstv bila wiziwizi huwezi kulipia mimi mwenyewe kinapigwa vumbi tu. Ndg yangu search upya utapata chan lama nne uwe unapata habari.
 
Back
Top Bottom