Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King'amuzi cha azam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BRAND, Aug 9, 2013.

 1. B

  BRAND JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2013
  Joined: Jun 2, 2013
  Messages: 234
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa za azam kuzindua king'amuzi chao na kuwafanya baadhi ya watu kuanza kulumbana hasa kutokana na gharama zake kuonekana kuwa cheap!! taarifa zilizidi kudai kuwa kitazinduliwa cku ya sikukuu ya eid mubaraka ambayo ndio leo!! vp mbona bado kimya au mlikuwa mnapima upepo kwanza??
   
 2. Kada

  Kada Senior Member

  #2
  Aug 9, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tusubiri tuone watasemaje, tar 8 bado haijamalzika.
   
 3. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,493
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Unaposoma habari humu, kuna vitu vya kuzingatia. kwanza anglia kichwa habari, hiyo habari imeletwa kama tetesi? nakama sio tetesi nani kazileta, je kapataje ukweli wa habari hiyo. Hata hivo leo haijaisha.
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2013
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Tunakisubiri kwa hamu icho king'amuzi tumechoka na utapeli wa star times
   
 5. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2013
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,521
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Kwani TFF wametoa tenda kwa TV ambayo hata haijaanzishwa? Hatari kweli.
   
 6. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 26,513
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  kuna mpya...?
   
 7. m

  micky mouse Senior Member

  #7
  Aug 9, 2013
  Joined: Feb 15, 2013
  Messages: 157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  patamu hapo
   
 8. B

  BRAND JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2013
  Joined: Jun 2, 2013
  Messages: 234
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
 9. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  soka la bongo balaa.kumbe king'amuzi chenyewe kilikuwa bado
   
Loading...