Kinga za mwili

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,540
752
Habari wana jamii...jamani natumaini kila mtu ana professional yake, kwetu sisi swali kama hili ilibidi nijing'ateng'ate saaaana kumsaidia huyu dada. In short kuna dada ofisini kwetu ana ujauzito wa kama 6month sasa, alienda hosp. Clinik akaambiwa kinga zake za mwili zimepungua na akashauriwa ale matunda kwa wingi...sasa kivumbi kikaja pale alipotaka ushauri kutoka kwangu nini kinasababisha upungufu wa kinga kupungua? Kwa mara ya kwanza alipoenda klinik alikuwa normal....kwa akili zangu za kiuhasibu nikajua tayari demu aliisha dr virus kwenye damu yake...jamani hebu na ninyi mnisaidie kwa hili?

Nini kinasababisha kupungua kinga mwilini kwa mjamzito?
Ale matunda yapi sasa ili kinga zake zipate kurudi hali ya kawaida?
 
Mwambie awe anakula sana Matunda na mboga za majani, zitamsaidia kukinga mwili wake na maradhi asikose pia kunywa maji kila siku.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom