Kinga ya Mbunge ni kwa wale wa CCM tu?

Apr 11, 2011
14
5
Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu? kinachonichanganya zaidi ni kwa Spika na Naibu wake kuonekana kuwa na misimamo tofauti dhidi ya kinga ya mbunge. Ningeomba kupata mwongozo kwa wanaoelewa vizuri mambo ya sheria.
 
Pata ushauri kutoka kwa Mhe Mbowe, anayo majibu baada ya kupata somo la kutosha pale Central.
 
Ndugu zangu nimkuwa nikifuatilia kwa makini hili swala zima la kukamatwa wabunge wa Upinzani ningependa kufahamu kuwa wao hawana kinga kwa mujibu wa kanuni za bunge? kinga ni kwa wale wa CCM tu? kinachonichanganya zaidi ni kwa Spika na Naibu wake kuonekana kuwa na misimamo tofauti dhidi ya kinga ya mbunge. Ningeomba kupata mwongozo kwa wanaoelewa vizuri mambo ya sheria.

wewe ni matafiti makini wa nini kama hilo nalo hulijui au ndio wale watafiti wa magamba kuwa jamii forums ni ya chadema.
 
Back
Top Bottom