kinga imepasuka

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba
 
We Jane,

Kwako ni ngono tuu.....taifa unalijenga saa ngapi?:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba

Bora upate mimba kuliko upate HIV
Subiri miezi 3 ukapime afya yako na uzingatie ushauri wa Dr.
 
Hawa watoto walioingia humu JF kwa fujo ni hatari kwelikweli.....ukifuatilia post zao utagundua.Unaweza kuhangaika wee kumbe un-argue na kabinti ka jirani yako kalikopinda au hata...aah ngoja niondoke
 
Hapo ulipo una full gono na inawezekana mimba na tuvirus tmekwishaingia,hivyo tulia tu uone matokeo ya mchezo uliokuwa unaufanya.
 
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba

Una akili timamu wee.....umekojolewa ndani na complete stranger halafu unahofu mimba badala ya Ukimwi!?
 
huna jipya!
sasa kama imepasuka sisi tufanyeje!?
mambo yako ya huko gesti house sijui na wazee yanatuhusu nini sisi!?
 
Kazi ipo! Hoja ya msingi ni je,utumiedawa za kuzuia mimba?
Jibu hapana,tulia kwanza then after a month to 3months nenda hospital kacheki afya yako hasa zile chembechembe hai nyeupe (white blood cells).

Eeee Mungu,tunakuomba ukiokoe kizazi hiki cha nyoka!
 
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba

Kinga ulivaa kuepusha Mimba au Ukimwi? Manake unasema hutaki mimba na Ukimwi je unautaka? Mbona hueleweki we mtu? Hapo kwenye red una maana gani?
 
last night I had a sex with mzee moja we just met natulipo kwenda hotel kufanya kitu chawakubwa kinga ikapasuka na sitaki mtoto for now sababu bado natafuta hela jee niledawa ya kuzuia mimba

Kijiwe chako huwa ni wapi weye?
 
Back
Top Bottom