King Mswati II akamata kichud mwingine

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Jamaa anafaidi ile mbaya....hivi kwa nini hao Marekani wasimQattafi huyu fisadi wa ngono.....


Reed3.JPG
Princess6.JPG
Princess2.JPG
 
********* anafaidi sana huyu!
ila lazima jamaa wanamsaidia tu, hata kama anakula viagra, haweza kuwatosheleza wote.
Safari hii, viongozi wetu wa juu hawakwenda huko nao wale hata makombo?

US hawana mpango naye, hana resource yoyote ya maana.
 
Na bado utakuta ana vimada kibao nje atakuwa anasaidiwa tu huyu kuna waziri wake mmoja amejiuzulu kwa kashfa ya kummega mkewe
 
Na bado utakuta ana vimada kibao nje atakuwa anasaidiwa tu huyu kuna waziri wake mmoja amejiuzulu kwa kashfa ya kummega mkewe

Lazima, sasa hayo ni yale unayoyajua, je ni jamaa wangapi wanammegea wake zake? Huyo si ana Binti mkubwa (about 20 yrs)???

The guy is a disaster...
 
Ila hiyo picha ya hapo juu inaonekana dada alipania kweli kuwa one of the queens.....
 
Jamaa anafaidi ile mbaya....hivi kwa nini hao Marekani wasimQattafi huyu fisadi wa ngono.....


Reed3.JPG
Princess6.JPG
Princess2.JPG
Wivu tu unakusumbua wewe,ungekuwa wewe ungeviacha vitoto mmwaaaa like that< au kwa sababu ni yeye sio wewe? naombea ningekuwa mimi wachaa,cheki kitoto as if kimechongwa
 
Huyo ni binti yake si mke wake na hapo ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa binti huyu. angalia wanavyofanana.
 
Huyo ni binti yake si mke wake na hapo ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa binti huyu. angalia wanavyofanana.


Tehe tehe tehe tehe...... binti? angalia hao wake wengine huko kulia walivyojaa wivu!!! Maskini? one of those days, they were also beuty quuen her mdada....wanawake tuna shida jamani.
 
Wakina mswati wapo wengi sana tatizo hapa bongo hatutaki kuhalalisha.. nafikiri umefika wakati muhafaka kuhakikisha katiba mpya ina weka kifungu hiki kwa raisi ajaye madarakani.....
 
Nikuulize swali Kaka yangu El Toro: Hivi hata ingekua sio mwanae, na anataka kuoa tena, ubaya uko wapi? kabla ya kumlaumu unatakiwa kuelewa sababu za msingi za King kua na wake wengi, na pia sababu za msingi za western countries kukataza mke zaidi ya mmoja alafu ndio ufanye comparison: kwa interest zake yeye Mswati, na interest ya population yake, bora afate mila ya Swaziland au afate mila ya west?
 
Back
Top Bottom