King Kiki: Malalamiko ya Kwenu

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz lakini kutokana na sababu fulani hawezi kujitokeza kutatua matatizo hayo. Na inaonyesha anao uwezo wa kuyatatua na wananchi wanaamini anao uwezo wa kuyatatua. Hebu ngoja niuandike kidogo (japo sikumbuki vizuri)

Malalamiko ya kwenu nayasikia kweli naumia
Mimi sitamani nitajaribu kuyasuluhisha



OOh kazeni moyo na nasubiri kilio chenu nakipata ooooh.................

Haya keba keba................eeeh

Please anayeujua vizuri aundike kwa usahihi...................
 
King KiKi akiongea na Dj Luke Joe kuelezea historia yake toka alipozaliwa huko Congo DRC (Zaire) kupigia bendi za Super Gabby, Maquis huko Zaire 1970.

Mwaka 1970 wakati Maquis, Safari Nkoy, Maquiz Du Zaire, Orchestra Safari Sound (Masantula) n.k walipohamia Tanzania , Ndala Kasheba alimwandikia barua aje Tanzania ajiunge na bendi ya Fauvette pale ukumbi wa White House, Dar-es-Salaam. Endelea kusikiliza King Kiki akihojiwa live

[video=vimeo;30062376]http://vimeo.com/30062376[/video]
Video kwa hisani ya Luke Joe (vijimambo) wa www.vimoe.com
 
Wanasema urudie baba kasongo kwenyewe natoka kiyumbi na jasho kwenu kumukini shika mukandaa.Hicho kichwa wakiache.
 
Back
Top Bottom