King crazy gk

GP wajua kila mtu ana uzuri wake kama wewe unaona sauti yake feki mie ilikuwa inavutia hahahaha ..
i like it
hahaaaa, ile sauti alikua anamuiga noniliiii huyu wa usa usibishe!.
sasa yukwapi?.
mistari yake haina vina wali mizani, hebu sikia hapa, Hii Leo:

.....eyoo nikisema one enyi machizi semeni two,
nikisema three enyi machizi semeni O,


sasa mistari gani hii??, MACHIZI ndio nini??.
alisema 'tmk rapstyle sasa kwisha', thubutuuuuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom