King crazy gk

Nani ana uhakika kuwa huyu Nguli ndo GK? Ama kwasababu jina "Nguli" limetajwa na mtoa mada?Kweli jamii forums ni sawa kabisa na jamii yetu,unapita mtaani mtu na karata tatu watu hao,na wanaliwa,unashangaa,ala!awa watu wanaonekana kama wana akili timamu kabisa,unajiuliza "Inakuwaje?"Unajijibu..."Ni wadanganyika" teh teh teh!
Licha ya kwamba sikatai moja kwa moja kuwa nguli ndo GK,bado sijashawishika moja kwa moja kujiunga na mjadala na kua assume kuwe Nguli ni GK.
Ah!
 
Point sio NGULI ni nani bali where is GK? jibu nimetoa aliko ifwatiliwe kama mtu yuko interested mkikuta nimedanganya nipigwe bani ya two years.
 
Point sio NGULI ni nani bali where is GK? jibu nimetoa aliko ifwatiliwe kama mtu yuko interested mkikuta nimedanganya nipigwe bani ya two years.

Good answer!
Kimsingi GK nilikuwa sikufagilii enzi zile mnaimba Mipasho wewe na wenzako, km ilivyo katika wimbo wa Hii Leo, lakini nikaja kukukubali ulipoingia deep kuibua matatizo kama yanayowasumbua Watanzania kama ilivyo katika wimbo wa [ame="http://www.youtube.com/watch?v=mv-KjIMaurI"]Sauti ya Manka[/ame]. Haya ni mabadiliko makubwa, na sasa ulipoingia darasani ndio nimekukubali kbs man.

object%3E
 
Good answer!
Kimsingi GK nilikuwa sikufagilii enzi zile mnaimba Mipasho wewe na wenzako, km ilivyo katika wimbo wa Hii Leo
object%3E

Kabuche 1977 upo? Sema mi mnafiki! Ukweli ni kwamba alikuwa anaboa kuwasemasema tmk rappers bila msingi.
 
Good answer!
Kimsingi GK nilikuwa sikufagilii enzi zile mnaimba Mipasho wewe na wenzako, km ilivyo katika wimbo wa Hii Leo, lakini nikaja kukukubali ulipoingia deep kuibua matatizo kama yanayowasumbua Watanzania kama ilivyo katika wimbo wa Sauti ya Manka. Haya ni mabadiliko makubwa, na sasa ulipoingia darasani ndio nimekukubali kbs man.
object%3E

``Hii leoo... Crazy GK, Mwanafalsafa, AY... leooo, bwaga manyanga chini sasa tupo hewani, leooo/ nakupa maneno matamu na yenye thamani, yapate hii leo... leooo``
 
Point sio NGULI ni nani bali where is GK? jibu nimetoa aliko ifwatiliwe kama mtu yuko interested mkikuta nimedanganya nipigwe bani ya two years.

Nimeunganisha dots kwa kutumia red highlight,you will c where iam coming from,hayo hapo juu unayasema mara baadaya ya hayo hapo chini,kwanza mleta hoja(Bujibuji) aliuliza hivi....
bwana huyu king crazy gk amefutika kabisa kwenye ulimwengu wa muziki,
hivi yuko wapi mdau huyu nguli wa muziki wa ubongo wa fuleva?

Then na wewe Nguli ambaye sasa ni GK(Kutokana na kauli hiyo hapo chini)Hivi ndivyo ulivyojibu...
Nipo nasoma chuo hapa kurasini cha mambo ya uhusiano wa kimatifa.

Kuna mantiki gani kusema pointi siyo Nguli bali where is GK na wakati wewe nguli unadai kuwa ndo GK?Sasa where is GK ina maana gani na wakti umeshasema wewe ndo GK?Kama usingejitokeza na kusema wewe ndo GK then bado point ingekuwa wapi GK,sasa kwasababu almost everybody sasa wanaasume wewe ndo GK,mimi nikatoa hoja kwamba who really knows that wewe Nguli ndo GK?Huo ndo msingi wa swali langu,ungesema tu mimi nguli namfahamu GK na sasa yuko mahali flani na anaendelea na shule,kauli yako ulisema wewe Nguli AKA GK ndo unasoma shule hapo kurasini...Kuna tofauti kubwa sana nashangazwa kama huioni.
 
Jmushi usiumize kichwa, hapa Nguli amejivika uhusika ili kunogesha mjadala. ametumia tu usanii ili asikie other side of the coin inasemaje kuhusu GT, sorry I mean GK !! Anaweza akawa ni yeye lakini hata kama si yeye, si hoja. Hata wewe ukiona kuna mada inamshambulia fisadi fulani, unaweza kuwa upande wa huyo fisadi ili watu wamwage data za kutosha kwenye jamvi, at the end watu wanapata picha kamili.
 
Uelewa mzuri sana. Nimegonga ile batani maarufu hapo juu tenksi sir.
 
mshkaji hakua na fyucha yoyote ile, na the matter of fact ni kwamba kina AY, Mwana FA ndio walikua wanambeba sanaaaa, mwisho wa siku wakajikuta wanaumia bure wakachomoka, akawapiga madongo weeee washkaji kwa kua ni vichwa hawakua na muda wa kumjibu, WAKAMPOTEZEA na mshkaji kapotea kweli.
 
Hiyo ni moja!
Pili, kwa nini alijipa jina la King "Crazy" GK badala ya kujiita GK, au King GK tu?
 
Jamani mbona mnamsema sana kijana watu kujipa king crazy gk ni mojawapo ya majina kwenye game
binafsi nilimpenda sana vile alivyokuwa anaimba kitofauti sana na sauti yake nzuri
swala ni sasa yuko wapi na anafanya nini? Y ameporomoka kimuziki??

Na hawa ma promota wa kibongo hawana msaada wanakutumia na kukutosa
 
duh, sauti mbaya mkuu!,
utakuaje mwanamziki na sauti lina kigugumizi, sauiti linakwaruza kama la Gamba bana, aaarrrghh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom