King crazy gk

Hata mvuta sigara iwa haachi gafla anaacha pole pole au taratibu

this ain't about wrong or right,
but man you've gotta quit the habit,
coz for sure in God's eyez it ain't right,

take one day at a time,
and join a beautiful world of mine,
where angels and the stars shine,
it is not too late to stand back in line.
 
Acha fitna wewe,nani kakuambia kuwa muziki una mahusiano na hizo bange na mademu?Mademu na bange hayo ni maamuzi ya mtu mmoja mmoja,niambie ni sheria ipi inayosema kuwa lazima uvute bange ili uwe mwana mziki wa bongo fleva!!

Mi sizumgumzii mziki in general, nazungumzia aina ya mziki anayoufanya. ishu ya madem si faida pia ila angalau huwafanya waonekane watu katika watu hata kama hawakuwa na hizo quality.

Bange asilimia kubwa ya wasanii wa huo mziki wanavuta tena sio kidogo, wanawake kwa wanaume. Kuna ambao waliona sio isue hasa wale walioenda skuli kimtindo lakini asilimia kubwa wanakula weed kinoma.

mimi bado nakushauri mkuu nguli upige shule kwanza, ili hatakama utachuja uwe tayari na professional yako kibindoni.
 
what's up ma nigga Burn,
looks lyk a man on the run,
me and my JF members are having some fun,
hope to hear from you soon.
 
Mpwa hicho chako kilema,
Japo huishi kilema,
Au umemwoowa Wema?
Nilikona mwema,
Au unaishi kwenye hema?

Hayo Maradhi,Au umeachiwa radhi?
Wafanyakazi wa ardhi!!!
Kweli noma.

Mpwa keshanogewa kuchezea vya kunyea,
Hawezi kutuelewa, utamu umemzidia,
Sikua atapo lemewa, njia yake kuzibia
Na bomba kuzibuliwa, ndipo atakapo jutia.
 
Mpwa keshanogewa kuchezea vya kunyea,
Hawezi kutuelewa, utamu umemzidia,
Sikua atapo lemewa, njia yake kuzibia
Na bomba kuzibuliwa, ndipo atakapo jutia.

Ha ha ha ha ha, umeuuuuuua ha ha te te te.
 
Mpwa keshanogewa kuchezea vya kunyea,
Hawezi kutuelewa, utamu umemzidia,
Sikua atapo lemewa, njia yake kuzibia
Na bomba kuzibuliwa, ndipo atakapo jutia.

That's what am talking about,
telling it straight,
telling it like it is not like it was.
 
Hata mvuta sigara iwa haachi gafla anaacha pole pole au taratibu

Aiseee,Kuna uwezekano mvutaji huyo wa sigara alikua anavuta nyingi kwa siku,pouwa utaratibu mzuri wa kuacha kitu mkuu fidel keep up,
 
Aiseee,Kuna uwezekano mvutaji huyo wa sigara alikua anavuta nyingi kwa siku,pouwa utaratibu mzuri wa kuacha kitu mkuu fidel keep up,

Yeah si unajua kitu kikisha ingia damni huwezi kiacha gafla hivi hivi mfano mm nilikuwa napiga 5 sasa nimepunguza mpaka 3-2 umeona mafanikio hayo taratibu nitatua kwenye 1 then 0.
 
Hope BHT wherever she is getting this,
Beside havent gotten any from her -its painful.

Nguli mi sina kipaji kabisaaaaaaaa hata ukimuuliza madam rita....she is my witness.

You two stop this now oooooohhhh!!
 
Nipo nasoma chuo hapa kurasini cha mambo ya uhusiano wa kimatifa.

Mliochangia mada hii mnadakia tu mambo na si kuchanganua mambo, kisa mdau pale juu kamtaja King Crazy GK kama Nguli akimaanisha Mahiri wa fani hiyo ya muziki na kwa bahati kuna ndugu analog in kama Nguli naye akajieleza pale mkajua ndiye mwenyewe King Crazy GK. Aliyetoa maelezo hayo. Someni kwanza kabla ya kuchangia, maana naona kuna watu wakiingia humu badala ya kuonesha ujuzi wa kufikiri kama one among great thinkers wanakuja na ubishi na lugha chafu, kama hamna mada laleni mpate afya njema. kama kuna mdau anafahamu ndugu yetu King Crazy GK yuko wapi atupe habari maana kusema ukweli ukitaja bongo 'flavour' jina la King Crazy GK nalo litakumbukwa jamani.
 
Haya wewe ndg yetu ndio GREAT THINKER na hapa umeonyesha how deep ur in thinking.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom