King Cobra(Prez SATA) bado anang'ata Mafisadi huko Zambia

Mimi nadhani kama angepata fursa ya kuongoza nchi hii our supreme commander Dr W. Slaa angeweza kufanya makubwa zaidi ya hayo ya Sata......! Huyu Kalikenye anayetamba na medali alizopewa marekani anatu cost sana!!
 
Rais makini ni yule anayefanya maamuz magumu,siyo Rais ambaye mpaka sasa hajui kwa nini Tanzania ni maskini.Big up King Cobra
 
TICTS,BUZWAGI,IPTL,SONGAS,AGREKO,PAN AFRICAN ENERGY,VODACOM,SYMBION,STIMULUS PACKAGE,VIVUKO VYOTE TANZANIA-FERRIES,POLISI,MAHAKAMA,WIZARA MALIASILI,AFYA,NISHATI NA MADINI,PEMBEJEO ZA KILIMO NA KILIMO KWANZA,BARRICK,TRA,TANESCO NA KAMPUNI ZA UWAKILI ZOTE ndizo prez sata angeanza nazo tanzania maana zimekithiri ufisadi

Mkuu yaaani hapa umepiga penyewe. Ongezea na CASPIAN, BARRICK, MEREMETA, DEEP GREEN, MANJI Companies etc. Hawa jamaa ndo wanaionya nchi yetu kupita kawaida. Umaskini tulionao umesababishwa na unaendelea kuwapo sababu ya wao. Anahitajika rais asiye na ubia nao awashughulikie ili nchi iweze kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom