Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wadau wa tek Salaaaam
Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo.
Tatizo Gani?
King'amuzi cha startime mft 930 kilikuwa kinapokea vizuri matangazo na kuonyesha channle kibao za FTA ( Free to air) Kama ITV, Statv.
Ghafla jana tu najaribu kucheki nakutana na ujumbe No channel available.
Mtazamo wangu
kuna mtoto mtundu mtundu aalichezea remote na kubalisha au ufuta baadhi a setting. Hii ndo inanifanya niombe kma kuna mwenye maujuzi na anayefahamu configurations za vingamuzi vya startimse adondoshe kwenye uzi huu nione kama DIY ( Do It Yourself) itatatua tatizo
Vile vile kama kuna mwingine ana soft copy ya manual ya king'amuzi hiki au anajua kiunganishi wapi naweza kuidaka manual au tech documentation ya startimes mft 930 basi anidodoshee hapa.
Natanguliza shukrani