Leo wana JF Kinana kathubutu kusema Kikwete sio SIZE ya Slaa, nimekubali kwa sababu Kikwete ni "Dakta ??" na Slaa ni "Doctor PhD" ni tofauti mno kiasi kwamba hawawezi kusizeshana!
Msomali yule atatamka lolote kulinda maslahi yake binafsi ya kibiashara!
Ameboa sana kwenye kile kipindi, maana anabisha hadi mambo ambayo ni obvious!....Inataka moyo sana kuwa mshabiki wa ccm, maana inabidi uwe na upunguani kiasi fulani!...huh!
taratibu na maneno yako manyaufu
Ilikuwa lini wakuu, naona nimepitwa na uhondo!
taratibu na maneno yako manyaufu
Tani 1.5 ya pembe za ndovu toka TZ zakamatwa Hong Kong
HONG KONG (AP) Hong Kong customs officers have seized over one and a half tonnes of smuggled elephant ivory worth 10.9 million Hong Kong dollars (1.3 million US) shipped from Tanzania, they said Friday.
The 384 ivory tusks -- weighing 1.55 tonnes -- were found Thursday inside two containers labelled as "dried anchovies" at the Tsing Yi container terminal, the Ports and Maritime Command said in a statement.
Two men, aged 46 and 48, have been arrested as part of a continuing investigation, the statement said.
The international trade in elephant ivory, with rare exceptions, has been outlawed since 1989 after elephant populations in Africa dropped from the millions in the mid-20th century to some 600,000 by the end of the 1980s.
Anyone found guilty of importing unmanifested cargo into Hong Kong faces a fine up to two million dollars (260,000 US) and imprisonment for seven years.
In addition, those guilty of importing, exporting or possessing an endangered species for commercial purposes face a fine of up to five million dollars (640,000 US) and two years in jail, the statement said.
Kenya seized two tonnes of raw elephant ivory bound for Asian markets in August, saying it represented the country's largest recovery of elephant ivory in the recent past.
At least 4,000 elephants are killed each year across Africa to supply the illegal ivory trade, according to the conservation group WWF.
Nyara zilizokamatwa!
My Take:
Nilizungumza wakati ule TZ inalilia kuruhusu pembe hizi ziuzwe kihalali. Nilisema kwamba kwa vile wamekataliwa lazima itatatufwa namna tu lazima ziuzwe! Now here we are! Wameuza mbuga zetu, wameuza madini yetu, sasa na pembe zetu za ndogu wanauza kwanini wasizitekekeze kama wanavyofanya Bunduki?
Link hii hapa:
BBC Swahili - Redio - Amka na BBC
Jomba Susuviri,
Hii link uliyoweka ni Kipindi cha jana IJUMAA, weka link ya leoleo,Jmosi 11/09, ndio ina ubabaishaji huo wa Msomali Kinana!.
Aibu sana. Wenye uwezo wa kufanya hayo yote ni wana-CCM tu. Tena wapo serikalini.
Lakini kama kawa CCM wanaweza simama kwenye mikutano yao ya kampeni na kusema: "Idara yetu ya Wanyamapori inafanya kazi kubwa na hivi karibuni tu ilifanikiwa kukamata nyara za serikali huko Hong Kong. Chagua CCM. Chagua kikwete. Na walalahoi watashangilia kama kawaida yao.
Nimetafuta AMKA NA BBC ya Jumamosi sijaipata!
Leo wana JF Kinana kathubutu kusema Kikwete sio SIZE ya Slaa, nimekubali kwa sababu Kikwete ni "Dakta ??" na Slaa ni "Doctor PhD" ni tofauti mno kiasi kwamba hawawezi kusizeshana!