Kinana mkanye m/kiti wako mkoa wa Mtwara CCM aache kuwachezea rafu wananchi wa Ufukoni

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
811
Salamu zangu kwa katibu mkuu ccm taifa, kwanza nikupe pongezi kwa kazi unayoifanya ya kuongea maneno mazur mbele ya wananchi wakati hayatekelezeki.

Kinana mwambie m/kiti wako ccm mkoa wa Mtwara kwamba wananchi ufukoni anapojificha wanapajua.

Eneo laitwa ufukoni liko karibu na bahari, ni zuri liloko kwenye mlima na upepo mwanana huwa wapiga, eneo hili ni eneo ambalo katika sehemu za Mtwara mjin lazaman na mji wa asili pamoja na Mangowera, Magomen mkoani Mtwara, babu yangu alinisimulia kuwa yeye alizaliwa mwaka 1918 hadi leo yupo ila chakushangaza leo hii anakuja mtu ambae amezaliwa mwaka 1969 anadai lile eneo lake na wale wanaoishi pale wamevamia tu ila huyu mtu imethibitishwa kuwa anatumiwa na mjomba ake ambae ni mwenyekiti wako wa ccm mkoan mtwara ili eneo hilo walipige bei kwa wawekezaji ila huruma inakaa pale wananchi wa eneo lile wanapoitwa wavamizi tena wengine ni waanzilishi wa eneo hilo na wao walizaliwa hapo 1918, hawakuwai kusain wala kuuza eneo lile ila mtu kanunua shamba la chumvi na huko anaida kwakwe…!!!

Kesi mbili mahakaman zimeenda ila hakuna faida kwa wananchi wa eneo zaid ya kuambia patupu, sasa katibu ukitaka jitike huo mzgo ila wale wananchi si wavamizi wa lile eneo.

Thanks
 
kinana ni hawez kuwazuia wez wenzake wasiibe jibu moja tu 2015 muache ujuha pipooo pawaa itumike kwenye sanduku la kura
 
Huyo mbunge kupitia ccm hapatani na m/kiti wake jashmoe32 na m/kiti inasemejana kampen zake hatak kumrudisha huyo jamaa mwaka 2015 asigombee
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa majibu ndugu jfrank ila hakijaharibika kitu ndugu yangu mana Mungu yu pamoj nasi na 2015 ni kesho kutwa na hawatoweza kufanya jambo kama hilo kwa sasa hivi mana wanajua uchaguzi kesho kutwa na pindi wakifanya hivyo wanajua watapoteza jimbo.

Ushauri wangu ni kua, naomba uchaguzi ujao mchague mtu kutokana na ukaribu mlionae na utendaji wake unaoonekana mana naamini Mbunge wenu sio mkazi wa huko ni mtu anaekuja kwa ajili ya kulitaka jimbo na kuondoka.
 
Back
Top Bottom