Elections 2010 Kinana amesema kweli, CHADEMA wana mtambo wa kutunga uongo

kakakuonap

Member
Sep 4, 2010
14
0

Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa ujerumani aliitumia kuivuruga amani ya Ujurumani, staili ya chadema inafanana na ile ya Hitler kwani zote zinawalenga vijana wanaotafuta ajira , watu wanaoshabikia udini na wakina mama walioachika na waume zao.
 
Duh sina uhakika kama umetumia akili zako kusema haya

amepost haraka haraka baada ya kuona kuna thread mpya inajadili namna ccm walivyomwaga damu kule musoma. lengo lake hapa ni kutoa attention kwenye mada ya muhimu.

Mafisadi bana mwaka huu wamebanwa kila mahali hadi wanafikia hatua ya kumwaga damu kabla ya uchaguzi.
 
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa ujerumani aliitumia kuivuruga amani ya Ujurumani, staili ya chadema inafanana na ile ya Hitler kwani zote zinawalenga vijana wanaotafuta ajira , watu wanaoshabikia udini na wakina mama walioachika na waume zao.
Ulijiandikisha hapa JF mwezi jana ili uandike takataka? Nenda kwenye blogu za wakina michuzi na maggid uandike haya muendelee kudanganyana na mafisdi wenzio. Hapa umegonga mwamba. HATUDANGANYIKI.
 
Hapa bwana hakuna mwenyewe kila mmoja yupo huru kutoadukuduku , mwazo, hisia, openly bila kujali au kuogopa chochote, nilichogundua ni kweli kuna mtambo na huo mtambo inawezekana baadhi ya members wa JF wapo utamkaripiaje mtu kutoa mawazo yake?? kwanini muumie ? basi ni kweli huo mtambo upo na mimi naanza kuamini kwamba mna mtambo wa uongo.
 
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa ujerumani aliitumia kuivuruga amani ya Ujurumani, staili ya chadema inafanana na ile ya Hitler kwani zote zinawalenga vijana wanaotafuta ajira , watu wanaoshabikia udini na wakina mama walioachika na waume zao.

Naona umeamua kuwasema akina Kinana, Riz1, Miraji, etc wanaotuma sms za kuchafua wagombea wengine! On top, JK amewadanganya wa-TZ kwa ahadi nyingi za uwongo na ameonyesha upendeleo wa wazi kwa dini yake ya Kiislamu! Kwako hayo yote ni mambo mazuri ya JK na CCM! Shame on you!
 
Nimefuatilia kwa karibu timu ya propaganda ya chama cha chadema, magazeti wanayotumia,forum wanazotumia, ni kweli kwamba chadema wanao mtambo wa kutunga uongo. Staili ambayo Hitler yule dikteta wa ujerumani aliitumia kuivuruga amani ya Ujurumani, staili ya chadema inafanana na ile ya Hitler kwani zote zinawalenga vijana wanaotafuta ajira , watu wanaoshabikia udini na wakina mama walioachika na waume zao.
Yah, kuna weza kuwa na ukweli. Uwongo wenyewe si ndiyo kama ule wa kwamba CHADEMA ni chama cha kidini, mara CHADEMA ni chama cha wachagga, mara Slaa katumwa na maaskofu, mara Slaa kaiba mke wa mtu, mara Slaa ametangaza kumwaga damu, mara CHADEMA wanataka kutumia maiti kama ngazi ya kwendea Ikulu, tena mengine yanasemwa na Kikwete mwenyewe bila aibu. Mtu mzima hovyo!!!. Kwa kweli si bure lazima kuna mtambo makini kabisa wa kutengenezea haya yote. Kwa bahati mbaya mali mnazozalisha kwenye mtambo wenu sasa hivi haziuziki. Watanzania hawapo tayari kuendelea kudanganywa tena.
 
Nyie mnatafuta kutukanwa tu, sasa kwa kukukomoa nakuacha na kusema ASANTE ili uendelee kujisifu lakini siku ukikandamizwa mpaka basi ndo utajua kuwa tunayoyatetea ni ya kweli!
 
Back
Top Bottom