Ningemwita kwa jina lake..... Kwani si nnalijua!
Mambo mengine ya kujipendekeza hayana msingi. She used to be ur wifi not anymore. Stick to her name already!
my wife wangu huwa akikuta na mzazi mwenzangu wa zamani, wanapiga stori na kula tano kama kawa.
hawana noma kabisa. so inategemeana na ntu na ntu.
my wife wangu huwa akikuta na mzazi mwenzangu wa zamani, wanapiga stori na kula tano kama kawa.
hawana noma kabisa. so inategemeana na ntu na ntu.
Mkuu wangu hii kwako haijakaa vizuri kwa upande wa kiusalama! Kama wana maelewano ya hivyo, kuna uwezekano mkubwa wanapokutana wanadumisha pia ile mila yao ya kuteta. Mazungumzo yao yanaweza kuwa kama ifuatavyo:
wa zamani: 'Edson alikuwa anapenda sana kulambwa masikio, vipi siku hizi?'
wa sasa: 'mwenzio siku hizi ndio kazidisha kabsaaaa! Bila hivyo gari haiwaki!'
wa zamani: 'na bado anakoroma usiku?'
wa sasa: 'Mwenzangu! Mbona nakoma! Yaani ni kama tumewasha jenereta humo ndani!'
mtu B nawe una mambo, si lazima iwe hivyo ni habari za asbh,mchna,jioni- salama
watoto hawjambo? - hajambo cjui mwenzao - mzima
na biashara inaishia hapo. wanawake wanaodiscuss weakness za waume za chumbani ni wajinga
Nimekuta ugomvi mkubwa kati ya mtu na wifi yake. Ni kwamba kabla hajaoa, huyo kaka mtu alizaa na mwanamke flani hivi, kisha hazikuiva kwa hiyo hakumuoa. Sasa ana mke wa ndoa na wana watoto. Mkewe kamkuta dada wa mumewe akizungumza kwa bashasha na mzazi mwenza huyo huku neno 'wifi' likitumika kama ndio uhusiano baina yao; huyu akiongea anasema 'wifi hivi na vile' mwenzie hali kadhalika. Mke wa ndoa ameumizwa sana na hali hiyo, akalianzisha na wifi yake kuwa "iweje huyu naye wamwita wifi ilhali si mke wa kakako? Au tuambizane kabisa, kakako ana wake wawili?" Dada nae kaja juu "unataka nimwiteje?" Basi ugomvi mtindo mmoja almanusura watoane mac
Sasa nawauliza akina dada, mtu kama huyo anastahili kuitwa wifi au la? Na kwa hiyo aitweje basi? Uzoefu wenu kinadada ambao kaka zenu wana watu wa namna hiyo, huwa mnawaitaje hao kinamama?
kazi ipo, lakini huyo dada mtu nae inawezekana alimwita wifi kumkomoa mwenzie au? ingekua m huyo mke wala nisingewamind maana kwani si mi ndie mke kama thats what matter!
Mimi sijui kama ni sawa ila huwa ninawaita wifi hata kama hakuzaa nae, msichana yoyote ambaye alishawahi kuwa demu wa kaka yangu ni ni wifi tu
c ndio hapo sasa, wifi maana yake c mtu anaemjua kakako vilivyo.."in/out"...sasa huyo kaka alikuwa na wangapi huko nyuma mpaka utegemee hilo jina liwe lako peke yako?..
Huwa nashangaa sana wanawake wengi wanaposema 'ilimradi mimi ni mke wa ndoa' so what? Kikubwa hapa ni kumpa heshima mwanamke aliyezaa kama wewe kwani walioolewa wanazaa tofauti na wasio olewa. Tatizo liko wapi kuitwa wifi si amezaa mtoto na yeye mlitakata aitwe nani? Akiitwa wifi anambeba huyo mume na kuondoka naye au ni heshima? Kwa maana hiyo hata mtoto basi anapashwa asimwite huyo mke wa ndoa mama kama yeye anaona vigumu kusikia neno wifi kwa mzazi mwenzie na mumewe.
my wife wangu huwa akikuta na mzazi mwenzangu wa zamani, wanapiga stori na kula tano kama kawa.
hawana noma kabisa. so inategemeana na ntu na ntu.
Nimekuta ugomvi mkubwa kati ya mtu na wifi yake. Ni kwamba kabla hajaoa, huyo kaka mtu alizaa na mwanamke flani hivi, kisha hazikuiva kwa hiyo hakumuoa. Sasa ana mke wa ndoa na wana watoto. Mkewe kamkuta dada wa mumewe akizungumza kwa bashasha na mzazi mwenza huyo huku neno 'wifi' likitumika kama ndio uhusiano baina yao; huyu akiongea anasema 'wifi hivi na vile' mwenzie hali kadhalika. Mke wa ndoa ameumizwa sana na hali hiyo, akalianzisha na wifi yake kuwa "iweje huyu naye wamwita wifi ilhali si mke wa kakako? Au tuambizane kabisa, kakako ana wake wawili?" Dada nae kaja juu "unataka nimwiteje?" Basi ugomvi mtindo mmoja almanusura watoane macho.
Sasa nawauliza akina dada, mtu kama huyo anastahili kuitwa wifi au la? Na kwa hiyo aitweje basi? Uzoefu wenu kinadada ambao kaka zenu wana watu wa namna hiyo, huwa mnawaitaje hao kinamama?