Kinadada huwa inawatokea?

una umri gani we muuliza swali?
Inaonesha ana umrimkubwa tu, na yamemkuta kabisa. Maana haya yanawakuta watu ambao wamenza kudo kwa sheria. wanawake wanaonesha kuwa hawana tym
 
jamani anataka kujua sababu hajawahi kukutana na tukio hilo....ila wkweli wadada wanaomba sana na wanapenda sana kuliko wanaume i think sema wanaoneana aibu wao kwa wao na wenza wao pia
Nadhani wao kweli wanapenda sana mambo mengine tu lakini sio sex sana, ila wanataka heshima zaidi.

Tujiulilize kuwa kwanini wanaume wengi hutoka nje ya ndoa/wamekuwa wakioa weke wengi sana!
Ni kwa sababu wanawake hawatoi kiasi ambacho wqanaume wanahitaji au wanachoka mapema zaidi
 
GFM kumbuka wanawake nao ni binadamu wenye feelings na mawazo sawa na wanaume. Tofauti inakuja kwenye malezi, wenzetu wanaume wamelelewa kuexpress feelings zao, wanawake tumelelewa kuwa na soni/haya/aibu e.t.c sasa inapofikia tuna taka kuexpress hamu zetu tunatumia body language more than maneno...........mtoto wa kike anatumia lugha za macho, ubunifu wa mavazi n.k kukufikishia ujumbe kuwa baba leo mwenzangu una overtime............ sasa kama mwanaume atakuwa si mwepesi kuisoma anawezajikuta anahisi ni yeye tu mwenye njaa...... na hapo anajikuta anajenga hisia zisizo.................... ndio kuna watakaosema kuwa anatakiwa kusema kwa mumewe lakini ni wa chache sana wanaoweza kulifanya hili la kumwambia mwenzake "baba chanja me mwenzako leo mh.....nimebanwa" tofauti na kina baba
 
Hizi hisia zenu hamjazianalizi unasikia kukunwa au unasikia kitu kizame kikae huko huko milele??maana sisi hamu yetu tunatakaga udidimize mpaka mwisho wanjia je nyinyi??mimi ndo swali nilivyolielewa au sijui nyie!!
 
Afu wee MJ1 mbona hivo ..... yaani macho umeyaficha au ndio signal hiyo ...:cool: :focus:
MJ1 naomba basi utuanzishie katopi ka kutufunza akina kaka hizi body expression
maana mie nshachoka ........... mie ndo kila siku nilianzishe tu ............ mwishowe najisikia vibaya ......... tukiwa chumbani peke yetu soni la nini tena :wink1::happy:
 
Hizi hisia zenu hamjazianalizi unasikia kukunwa au unasikia kitu kizame kikae huko huko milele??maana sisi hamu yetu tunatakaga udidimize mpaka mwisho wanjia je nyinyi??mimi ndo swali nilivyolielewa au sijui nyie!!
Hauko mabli na swali, ila mie nitaka kujua kama na wao wanakuwaga na ila hali ya .......... leo najisikia kumakatia baba chanja nyonga
mpaka akubali kwamba kao ......... sijui Tanga, Tabora , etc yaani unahakikisha baba amekamuliwa juice vya kutosha :happy::happy:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom