Kinachowapagawisha marijali kwa wanawake ni kipi hasa kati ya hivi?

wanahama hama kama kuku..........leo macho kesho akipita mwenye kengeza anaye keshokutwa wowowo ghafla utasikia hilo limepinda cheki lile limenyooka:violin:
 
ndo maana nikasema wanavutiwa na jirani yko zaidi ya wewe.

Wanaishi na wewe kwa sababu jirani alichelewa kujitokeza.

Kongosho,am just getting interested to read your comments,soooo taken away........nice one though
 
Kwanza mimi ninatazama sura kwanza naenda kwenye shepu nakuja kwenye umakini wamtu basi ila napenda mwanamke awe black kidogo kama brown flani chocolate!!

ina maana hunitaki tena na wewe ndio uliniambia nitumie karolaiti.......

 
Uzuri wa nyumba yoyote ile ni CHOO best a.k.a makalio! Ata kama nilikuwa bize kiaje, akipita demu mwenye makalio huwa nasitisha kwa sekunde kadhaa kuangalia uumbaji wa Mungu! Wengi tuko hivyo. Cha pili ni Matiti madogo na mapokezi a.k.a sura! Kwa hivyo vitatu utakuwa umenikamata!!
 
wanahama hama kama kuku..........leo macho kesho akipita mwenye kengeza anaye keshokutwa wowowo ghafla utasikia hilo limepinda cheki lile limenyooka:violin:

Sasa tufanyeje mpendwa? unadhani tunapenda kuwa hivyo??
 
Back
Top Bottom