Kinachowapagawisha marijali kwa wanawake ni kipi hasa kati ya hivi?

la Jeneral

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
392
57
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha
 
PHAT GYAL + Rangi Soft isiyo chunusi natural color chotara mng'avung'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde.
 
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha

kila mwanamme ana vivutio vyake tofauti tofauti tofauti lakini mimi umbo, sura,chuchu ndogo,tabia mbeleni ntamrekebisha
 
Back
Top Bottom