Kinachowafanya mkubali na mkimbie ni nini?

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,376
Habari wana JF?

Kinachonifanya niulize hivi ni kuna skendo imetokea ofisini as follows;
Wafanyakazi wenzetu wamekutwa wakila uroda ofisini muda wa lunch, sie twaenda lunch wao wanajifanya wako busy kwamba watachelewa kwenda lunch.

Bad lucky, kuna mtu alishtukia mpango mzima akavunga anaenda lunch then akarudi kupiga chabo. Alipohakiki kweli wanabanjua amri ya sita ofisini alikuja kuita staff wengine nao wakaone.

Loh! Kilichotokea ni kwamba yule binti alipogundua kaonwa na staff wenzie, alitoka mbio mpaka leo hii ni siku ya nne hajakanyaga ofisini na mtaani haonekani ilhali mzinzi mwenzie anakuja kazini na tena anachukulia kama ni ujiko fulani hiviii.

Swali ni; kwanini ukimbie tena mpaka ufikie kuamua kuacha kazi ilhali ulitongozwa na kufikia maamuzi kwa hiyari yako kutafuniwa ofisini?

Kwa nini yanapotokea maswala ya fumanizi aibu huelemea kwa mwanamke pekee na si kwa wote?
 
lol kweli hao walikuwa na ukame!!!!!!!!!ss ndo nn kubanjuana kwa ofic!!!!
huyo dada naona alikuwa kashachoka kazi tu kilichomkimbiza nn wakati alikubali kwa ridhaa yake mwenyewe!!!!!pole zake!!!!!!!!!
 
wanawake wameumbwa ivo lakini kwa mwanaume ni kama ushindi fulani huoni jinsi wanajisifia mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hawana akili hawa au huu ukame ulichanganywa na valuuu
 
cz mwanamke kaumbwa na haya kg 10 wkt mwanaume kaumbwa na haya kg1.
bt she z so cheap..kwa ofc?mmh mbayaaaaaaaa???
..au ndo ziliwazdia saaaaaaana zilikuwa znawachoma so wameshndwa kusubiri zingewaunguza mwl mzima...!!!!
 
Habari wana JF?

Kinachonifanya niulize hivi ni kuna skendo imetokea ofisini as follows;
Wafanyakazi wenzetu wamekutwa wakila uroda ofisini muda wa lunch, sie twaenda lunch wao wanajifanya wako busy kwamba watachelewa kwenda lunch.

Bad lucky, kuna mtu alishtukia mpango mzima akavunga anaenda lunch then akarudi kupiga chabo. Alipohakiki kweli wanabanjua amri ya sita ofisini alikuja kuita staff wengine nao wakaone.

Loh! Kilichotokea ni kwamba yule binti alipogundua kaonwa na staff wenzie, alitoka mbio mpaka leo hii ni siku ya nne hajakanyaga ofisini na mtaani haonekani ilhali mzinzi mwenzie anakuja kazini na tena anachukulia kama ni ujiko fulani hiviii.

Swali ni; kwanini ukimbie tena mpaka ufikie kuamua kuacha kazi ilhali ulitongozwa na kufikia maamuzi kwa hiyari yako kutafuniwa ofisini?

Kwa nini yanapotokea maswala ya fumanizi aibu huelemea kwa mwanamke pekee na si kwa wote?

Tii kiu yako mpendwa!
 
cz mwanamke kaumbwa na haya kg 10 wkt mwanaume kaumbwa na haya kg1.
bt she z so cheap..kwa ofc?mmh mbayaaaaaaaa???
..au ndo ziliwazdia saaaaaaana zilikuwa znawachoma so wameshndwa kusubiri zingewaunguza mwl mzima...!!!!

mmmh!kama kweli mwanamke kaumbwa na haya(soni) kg 10 na mwanaume haya(soni) kg 1, je angekubali kweli kulambwa ofisini!mbona tunawaona wanawake wengi tu mabarabarani wanavaa nguo nusu uchi, je huku ni kuumbwa na haya(soni) kuliko wanaume?????
 
kuna normality na abdomality...tambaa na izi bit tutaonana mbele apo kdg....natangulia.....
mbona kuna vichaa wanatembea uchh?jazia kwa apo juu....lunch vp?
 
hiyo casual sex mbona kawaida sana....tatizo walinogewa waka-do the nidful kwenye open area...ili bidi wafanyie kitchen/store au kwenye cabinets na pia huyo mfanyakazi mmoja aliyeona na kwenda kuwa-eleza wenzie ndiye wa-kulaumu...yy angeji-koholesha akiwa hawaangalii wangeacha na kuamini hawajaonwa.....asikwambie m2 ina-utamu wake hiyo ya kujiibia......
 
Haya mambo ya kumiminiana mbegu ofisini yanahitaji moyo.
Mikela alifumwa lojingi akajiona mdogo kama tone la soda.
Sasa huyu binti aliyefumwa ofisini sijui ndio anajisikiaje kwa kweli.
 
kuna normality na abdomality...tambaa na izi bit tutaonana mbele apo kdg....natangulia.....
mbona kuna vichaa wanatembea uchh?jazia kwa apo juu....lunch vp?

eeeeehh!ndo ulikuwa unanikaribisha lunch, au ulitaka twende wote dia?????
 
hapo ofisini kuna mabafu? sipati picha baada ya ile shughuli niendelee tena na kazi mpaka jioni. kwanza mwenyewe nitajishtukia hata kama sijafumaniwa
 
hiyo casual sex mbona kawaida sana....tatizo walinogewa waka-do the nidful kwenye open area...ili bidi wafanyie kitchen/store au kwenye cabinets na pia huyo mfanyakazi mmoja aliyeona na kwenda kuwa-eleza wenzie ndiye wa-kulaumu...yy angeji-koholesha akiwa hawaangalii wangeacha na kuamini hawajaonwa.....asikwambie m2 ina-utamu wake hiyo ya kujiibia......
huyo jamaa nae aliyeona badala hawastue na kuwakemea yeye kaenda kuita watu, mijitu mingine minoko kweli alishindwa nn kuuchuna tu au kuwastua wasirudie tena ila ofcn nako nikiwanja kizuri cha kubanjukia jaribu siku moja nakumbuka nilivyokuwa naanza kazi kuna kabinti niliwahi kubanjuka nacho choo cha oficn tena bila dhana ilikuwa tumebaki wawili tu saa moja jioni
 
Mungu anachukia zinaa - tumwogope mungu jamani - hata kama wafanyakazi wasingewaona - mungu alikuwa anawaona

inawezekan mungu aliamua kuwaweka wazi - yamkini walikuwa wamezoea hako kamchezo - na hiyo ilikuwa ndio siku yao ya kuwekwa wazi - walidhani siriiiiiiiiiii kumbe .................. Shame!!
 
Hawa watu ina maana hawakuwa na sehemu nyingine ya kwenda mpaka wafanye ofisini?:sick:
 
Back
Top Bottom