Kinachopooza kampeni za Magufuli ni nini?

Paul Alex

CCM wanafanya kampeni za ushindi, usiwalinganishe na walopokaji, una takiwa kujua wao ndo wenye dola, usidhani UKAWA wako sawa na CCM. na ndo maana hata washabiki wa UKAWA wanakuwa kama dk 3 mbele hvi kama mgonbea wao. swala ni ushindi na si kupooza.
 
Last edited by a moderator:

Hebu rudia kusoma hichi kitu ulichokiandika,halafu utulie upangilie ujumbe unaotaka kutuma,utafute maneno kisha uandike tena!
Vinginevyo watu wataona wewe ndio uko dk.3 mbele
 
Kwan magufuli ni msukuma? Magufuli ni nzinza

Kwa hiyo issue ya kunyanyapaa kabila lake tuitazame kwa jicho la ziada. Baadae atakuwa kama waliosema "I WAS BORN IN AFRRICA ACCIDENTALLY" pale hela na madaraka vitakapochanganya mwendo.
 
Magufuli angeweza kung'ara kama angesimama na mtu kama Dr.Mihogo
 
Kampeni ya Magufuli imekuwa ya kukatisha tamaa kwakweli, nilitegemea ingetoa angalau upinzani wa karibu kwa Lowassa lakini matamaanio hayo yanafifia kila kukicha.

Kwa mtazamo wangu, mambo yanayodhoofisha kampeni ya Magufuli ni:

1.Kukosekana kwa mtazamo chanya kwenye jukwaa: Magufuli hawapi watu moyo,anaogopesha kila mtu. kampeni imekuwa ya kulalamika sehemu kubwa na Magufuli amekosa Kuonyesha ujasiri wa kuwa rais baada ya tarehe 25 October.Ukiangalia jukwaa la Magufuli utaona watu waliokata tamaa tu.

2. Kukosekana kwa ubunifu: Ukiona mgombea anaongea kisukuma, anapiga pushap jukwaani,anaapa bila sababu unaona picha ya ndege anayehangaika ndani ya chumba chenye dirisha ila haoni pakutokea. Mbaya zaidi hana uzoefu wa kampeni level ya urais na hii inafanya akose cha kuiambia timu yake ya kampeni inapomfuata kwaajili ya maelekezo.Kuiga nembo ya M4C, wimbo wa mchaka mchaka na kaulimbiu ya mabadiliko ni alama tu za kukosa ubunifu.

3. Kukosekana kwa uaminifu: Magufuli mwenyewe anasema kuna watu wakonae mchana ila usiku wako UKAWA.Hii kauli inaonyesha kuwa team ya Magufuli ya kampeni hawaaminiani.Siri zote wanazopangilia zinachukuwa dk.5 tu kuwa kwenye mitandao ya kijamii.Hii inavunja moyo mno wale wenye nia ya dhati na Magufuli.

4. Tabia ya Magufuli kupenda kusifiwa peke yake.Unaposema Tanzania ya Magufuli una maanisha nini? Unapoita wenzako kwenye chama kunguni tukueleweje? Magufuli anataka aonekane yeye tu katika chama na hata kwenye mabango yake mengine hamna utambulisho wa chama.

Ujumbe kwa team campaign ya Magufuli: You could still make this loss less embarrassing, you could make it respectable.Don't panic, reorganize and address these very obvious issues.

Uliondika ni uzushi kwani kampeni ya Magufuli iko hai kuliko afya ya Lowassa.

Kama uliyoandika yangekuwa ni ya kweli, na bado Magufuli anaongoza kwa 69%, basi Lowassa ni uozo mkubwa usiotibika.
 
We unaona mpaka waandishi wanafukuzwa, watu wasiogope mchezo

Ule ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa kwakuwa kwa tech ilivyo leo mtu hahitajiki kuwa Karibu ili anase tukio aidha picha mnato au video
 
kampeni ya magufuli imekuwa ya kukatisha tamaa kwakweli, nilitegemea ingetoa angalau upinzani wa karibu kwa lowassa lakini matamaanio hayo yanafifia kila kukicha.

Kwa mtazamo wangu, mambo yanayodhoofisha kampeni ya magufuli ni:

1.kukosekana kwa mtazamo chanya kwenye jukwaa: Magufuli hawapi watu moyo,anaogopesha kila mtu. Kampeni imekuwa ya kulalamika sehemu kubwa na magufuli amekosa kuonyesha ujasiri wa kuwa rais baada ya tarehe 25 october.ukiangalia jukwaa la magufuli utaona watu waliokata tamaa tu.

2. Kukosekana kwa ubunifu: Ukiona mgombea anaongea kisukuma, anapiga pushap jukwaani,anaapa bila sababu unaona picha ya ndege anayehangaika ndani ya chumba chenye dirisha ila haoni pakutokea. Mbaya zaidi hana uzoefu wa kampeni level ya urais na hii inafanya akose cha kuiambia timu yake ya kampeni inapomfuata kwaajili ya maelekezo.kuiga nembo ya m4c, wimbo wa mchaka mchaka na kaulimbiu ya mabadiliko ni alama tu za kukosa ubunifu.

3. Kukosekana kwa uaminifu: Magufuli mwenyewe anasema kuna watu wakonae mchana ila usiku wako ukawa.hii kauli inaonyesha kuwa team ya magufuli ya kampeni hawaaminiani.siri zote wanazopangilia zinachukuwa dk.5 tu kuwa kwenye mitandao ya kijamii.hii inavunja moyo mno wale wenye nia ya dhati na magufuli.

4. Tabia ya magufuli kupenda kusifiwa peke yake.unaposema tanzania ya magufuli una maanisha nini? Unapoita wenzako kwenye chama kunguni tukueleweje? Magufuli anataka aonekane yeye tu katika chama na hata kwenye mabango yake mengine hamna utambulisho wa chama.

Ujumbe kwa team campaign ya magufuli: You could still make this loss less embarrassing, you could make it respectable.don't panic, reorganize and address these very obvious issues.

mbona hii thread imejaa malalamiko ya watu aina ya ukawa, wanayosema hayo yote yanamfanya magufuli aonekane mtu makini kuliko goigoi gojnwa la ukawa lowassa ambae anatembea na kuongea kama robot. Magufuli anazo tabia za barack obama kama ongea yake kwenye mikutano, ubunifu kama pushup alifanya obama, kusema matatizo yaliyoko kwenye jamii husika na namna ya kuyatatua magufuli anafanya hivyo, pia afya yake inadhihirika kwa kukimbia, kuruka jukwaani na kupiga pushup. Anapodai serikali ya magufuli,nini kinachokukera hapo?? Maana ndio uhalisia atakuwa amiri jeshi mkuu kiongozi mkuu wa taifa ataunda baraza la mawaziri, atateua wakuu wa idara mbalimbali na watumishi lukukia sasa ni serikali iliyopo chini ya ndg magufuli.
Acheni kuweweseka na kushindwa kulala, endeleeni kumuombea lirobot lenu lowassa maana hali yake mbovu sana na kura hapati.
 
View attachment 293254
 
Uliondika ni uzushi kwani kampeni ya Magufuli iko hai kuliko afya ya Lowassa.

Kama uliyoandika yangekuwa ni ya kweli, na bado Magufuli anaongoza kwa 69%, basi Lowassa ni uozo mkubwa usiotibika.

mkuu baada ya stimu ya viroba kuisha, hebu rudia kusoma ulichoandika uone kama kinaleta maana sio unakurupuka kuandika ujinga hapa halafu unajiona mjanja.
 
Kampeni ya Magufuli imekuwa ya kukatisha tamaa kwakweli, nilitegemea ingetoa angalau upinzani wa karibu kwa Lowassa lakini matamaanio hayo yanafifia kila kukicha.

Kwa mtazamo wangu, mambo yanayodhoofisha kampeni ya Magufuli ni:

1.Kukosekana kwa mtazamo chanya kwenye jukwaa: Magufuli hawapi watu moyo,anaogopesha kila mtu. kampeni imekuwa ya kulalamika sehemu kubwa na Magufuli amekosa Kuonyesha ujasiri wa kuwa rais baada ya tarehe 25 October.Ukiangalia jukwaa la Magufuli utaona watu waliokata tamaa tu.

2. Kukosekana kwa ubunifu: Ukiona mgombea anaongea kisukuma, anapiga pushap jukwaani,anaapa bila sababu unaona picha ya ndege anayehangaika ndani ya chumba chenye dirisha ila haoni pakutokea. Mbaya zaidi hana uzoefu wa kampeni level ya urais na hii inafanya akose cha kuiambia timu yake ya kampeni inapomfuata kwaajili ya maelekezo.Kuiga nembo ya M4C, wimbo wa mchaka mchaka na kaulimbiu ya mabadiliko ni alama tu za kukosa ubunifu.

3. Kukosekana kwa uaminifu: Magufuli mwenyewe anasema kuna watu wakonae mchana ila usiku wako UKAWA.Hii kauli inaonyesha kuwa team ya Magufuli ya kampeni hawaaminiani.Siri zote wanazopangilia zinachukuwa dk.5 tu kuwa kwenye mitandao ya kijamii.Hii inavunja moyo mno wale wenye nia ya dhati na Magufuli.

4. Tabia ya Magufuli kupenda kusifiwa peke yake.Unaposema Tanzania ya Magufuli una maanisha nini? Unapoita wenzako kwenye chama kunguni tukueleweje? Magufuli anataka aonekane yeye tu katika chama na hata kwenye mabango yake mengine hamna utambulisho wa chama.

Ujumbe kwa team campaign ya Magufuli: You could still make this loss less embarrassing, you could make it respectable.Don't panic, reorganize and address these very obvious issues.

Simple!; Angeanza kwa kuwaomba msamaha Wa-tz kwa madhila waliyo yapata chini ya utawala wa ccm! then!; aeleze mbinu atakayo tumia kuondoa madhila hayo kwa kutumia katiba hii iliyo tifikisha hapa!
 
Siwezi kushangaa mshabiki wa Mbowe na Lowassa anapoogopa avatar badala ya kuchambua hoja.

Kwa Hoja Ipi?! Uliyoileta Humu Bwana Kubwajinga Hoja Mujarab Aliyoileta Ndg Yangu Paul Alex Yapaswa Kujibiwa Kwa Hoja! Kushindwa Kujibu Hoja Hata Ukikaa Kimya Ni Busara, Na Ziko Dhahir Kabisa Ukizipinga Hizo Hoja, Utakuwa Una Mtindio Wa Ubongo! #Kubwajinga Wewe! Sio Tusi Hilo!
 
Last edited by a moderator:
Mengine: i.Watanzania wanasubiri majibu ya matatizo yao,wanaambulia kutishwa na push ups ii.Mbwembwe nyingi jukwaani,sera kiduchu,vitisho kibao iii.Wana kampeni kuchafua hali ya hewa kwa kauli tete iv.Matumizi makubwa ya fedha mbele ya Watanzania maskini
 
Uliondika ni uzushi kwani kampeni ya Magufuli iko hai kuliko afya ya Lowassa.

Kama uliyoandika yangekuwa ni ya kweli, na bado Magufuli anaongoza kwa 69%, basi Lowassa ni uozo mkubwa usiotibika.

...... Wanasema ni mgonjwa. Kwaniiii Magufuli ni mzima?. ........... Fredrick Sumaye
 
Back
Top Bottom