BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
ili iweje? Ukishajua jinsia ya mtu itakusaidia nini? Au unapotaka kuona picha utajuaje kama ni picha halisi ya muhusika?
post zote hizo za juu ni za jinsia unayoitaka wapo wengi chagua yeyote si unaona wanavyokushobokea tena wepesi sana maji mara1 maharage yanaiva