Kinachoniuzi humu kutojua jincia ya mtu mwanamke anatumia jina la ajabu unajua men kumbe jike

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,542
Naomba kuboreshwe japo hata picha za kila user zweznawekwa.Ni mtamzamo tu
 
Wewe una tatizo sasa jinsia za watu ili ziweje??
 
we soma post za watu,utazijua jinsia zao tu au mwenzetu unataka mademu? Nalog off
 
Kama unatafuta mchumba anzisha thread! Mambo ya kuzukia watu pm yatakutokea puani,lol! Otherwise siasa hazina jinsia.
 
Jamani msimlaumu huyu, kakimbia Feisibuku alidhani huku kuna ulaji. Kwanza angalieni alijiunga lini. Ikiwa kaja ili aungane na Great Thinkers atazowea tu, vyenginevyo nina wasiwasi kuwa hii itakuwa ndio thread yake ya mwisho.
 
Back
Top Bottom