killo JF-Expert Member Jul 13, 2008 401 94 Jun 4, 2012 Thread starter #21 NATA said: Ni fataki za hawa wahindi wetu! Click to expand... Nyambafu zao... Wameomba kibali kwa igp?
NATA said: Ni fataki za hawa wahindi wetu! Click to expand... Nyambafu zao... Wameomba kibali kwa igp?
killo JF-Expert Member Jul 13, 2008 401 94 Jun 4, 2012 Thread starter #22 Rogi said: Ooh hali inaweza kuwa si hali ndugu yangu..vitu vikaanza kusafiri kama vile vya la mboto Click to expand... Hilo nalo meno maana nsugu yangu ile ilikuwa shughuli nayo!
Rogi said: Ooh hali inaweza kuwa si hali ndugu yangu..vitu vikaanza kusafiri kama vile vya la mboto Click to expand... Hilo nalo meno maana nsugu yangu ile ilikuwa shughuli nayo!
R Rebel volcano JF-Expert Member Jun 1, 2012 403 86 Jun 4, 2012 #23 ni ugomvi mdogo tu kati ya mke wa jirani yako na mumewe,kaa chuga usije ukatolewa kafara!
M Mpalisya Imbogo Member Nov 16, 2009 53 9 Jun 4, 2012 #24 Ni nyumbani kwa balozi wa Uingereza. Miaka 60 utawala wa Malkia Elizabeth
Comi JF-Expert Member Oct 2, 2011 3,328 955 Jun 4, 2012 #25 Mh! Hapo mtu nimeachwa ubungo, mara sinza,mara kamnyongeni,mara kinondoni,mara mboto du sasa cjui ni wapi hasa
Mh! Hapo mtu nimeachwa ubungo, mara sinza,mara kamnyongeni,mara kinondoni,mara mboto du sasa cjui ni wapi hasa
NATA JF-Expert Member May 10, 2007 4,492 1,311 Jun 5, 2012 #26 killo said: Nyambafu zao... Wameomba kibali kwa igp? Click to expand... Hata wasipoomba hawafanywi chochote, nji yao hii mkuu!
killo said: Nyambafu zao... Wameomba kibali kwa igp? Click to expand... Hata wasipoomba hawafanywi chochote, nji yao hii mkuu!