Kinachokupa mke/mume bora sio kazi ama pesa zako bali kibali cha mungu!!omba favour utoke

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Lilia kibali cha mungu
pengine weewe ni wale wanaohudhuria harusi za watu tangu uzaliwe wewe ni kuhudhuria
na sasa unazeeka huna mke ama mume leo nakupa njia ya kumwomba mungu akusaidie hili
jitahdi kuomba kibali cha mungu watu wengi wanasali bila kujua wanasali nini
wanaomba bila kujua unaomba nini...mwite yesu mwambie mungu akupe kibali utoke
kimaisha usikubali kuwa mhudhuriaji wa harusi jitoe kwa mungu muulize bwana yesu nimechoka
kuchangishwa kadi sasa zamu yangu kuchangisha harusi yangu

naomba nikujuze hapa atuongelei ndoa tunaongelea mume ama mke mwema...ndoa unawezakufunga
hata na majini kanisani lakini swala la wewe kupata mke mume mwema hilo ni lingine kabisa
mwombe mungu akupe ufahamu wa kuomba kibali kila siku..penginekwenye familia yako wewe ndio
umetumika kuongeza mali za watu na awataki kukuachia sasa ni lazima ukimbilie kwa yessu
nenda kanisa lolote la kumwabudu mungu wa kweli simama nalo mwombe yesu kibali

Labda nikukumbushe ndoa nyingi zinateketea sababu Moja kama sio kufa kabisa...wakati wanaomba hata walokole
wengi tunaomba Mungu atupe ndoa awajui siku hizi kuna mapepo majini yameingia makanisani nakwambia yanaimba
kama WAZIRI SONYO unasema hapa sasa huyu ametoka kwa Mungu na pengine kwenye maombi uliomba mpiga solo
ama mwanakwaya mwaya unajiloga kumbe inakula kwako..baada ya ndoa anakwambia sitakai kusikia kila saa kanisan kanisani
Kumbuka kabla ya kuoana ulisema katoka kwa Mungu.,,,Kuwa makini Unaweza oa hata mara Nnne kama wenetu lakini
swala la kuitunza zile ndoa zidumu ndio kasheshe na ndio maana wengi wanaishia kutujaziia watoto wa mtaani
Zamani nilijua watoto wa mtaani ni yatima lakini kama uamini nenda pale Ubungo kwa wale wattoto wengi wana baba zao
na mama zao wameshindwa kuwatunza na wengine wanakwambia Baba alimfukuza mama baada ya kuoa mke watatu

Watch out tunapennda kula hela yako kwa ajili ya kukupa wazo la kutatua Ndoa yako lakini atuitaji kuja kukalishana
Vikao kutatua Ndoa yako ttunatoa wazo ukalifanyie kazi

Mungu akubariki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom