Kinachokuja Kukikuta Chama Cha Mapinduzi ni Hiki Hapa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
CCM bado hawajajua nini maana ya People's Power!
 

Attachments

  • Peoples Power.jpg
    Peoples Power.jpg
    17.5 KB · Views: 316
  • Power 1.jpg
    Power 1.jpg
    19.8 KB · Views: 173
Huwa wanaanza hivyo ... manyanyaso yakizidi & raia wakichoka na manyanyaso ya Serikali zao ...

Hata Polisi hawataweza kuwadhibiti tena ... wala kuwanyamazisha!

... Ipo siku itafikia hivi

edsa2.jpg


crowd.jpg



 
Back
Top Bottom