Hapa najaribu kuchambua kinachokosekana na kile tunachozani kinakosekana kwenye filamu zetu! Uchambuzi wangu ni mawazo binafsi kwavile mimi si mtaalamu katika tasnia husika ingawaje nina uzoefu usio haba katika utunzi wa stori(sio za filamu). Kutokana na hilo, uchambuzi wangu hautakuwa wa kitaalamu bali kutokana na vile ninavyoona mimi!
WAIGIZAJI: Wapenzi wengi wa filamu za kibongo wanalalamika kwamba waigizaji wetu wanashindwa kuvaa uhalisia! Kwa maana nyingine, mwigizaji anaweza kuigiza analia huku uso wake umebeba tabasamu la chati! Hata nami nakubaliana katika hili, kwani kuna wakati panaweza kuwa na tukio la utekaji huku mtekwaji nae akionesha dalili zote za kukaa tayari kwa kutekwa! (NIMESOMEKA?)
STORY: Pamoja na yote hayo, binafsi naona tatizo kuu lililopo kwenye filamu zetu ni stori mbovu! Stori mbovu haiwezi kutoa filamu mzuri hata kama wachezaji wa filamu hiyo watakuwa magwiji wa filamu kutoka Hollywood(inaandikwaje vile?!) au wale wa Bollywood! Stori zetu ni mbovu kv utungaji wa stori unahitaji kipaji zaidi kuliko vinginevyo! I guess unaweza kum-train mtu kuwa mwigizaji na akawa mwigizaji bora kabisa lakini huwezi kum-train mtu kuwa mtunzi na akawa mtunzi mzuri! Uigizaji unahitaji CREATIVITY and/or TALENT lakini utunzi wa stori bora unahitaji TALENT + CREATIVITY + INSPIRATION! Unaweza kuwa na wazo (idea) bomba lakini
MSUKO WA MATUKIO: Ubovu wa stori yoyote ile unatokana na msuko mbovu wa matukio! Msuko wa matukio unahitaji creativity as well as inspiration. More often than not, creativity and inspiration ni gift from god.Pamoja na yote hayo, unapotunga stori yoyote inayohitaji msuko mzuri wa matukio meditation ni muhimu! Katika utunzi, inafika wakati mtu unakwama huna kitu cha kuandika. Mtunzi bora ataacha kuandika na ku-meditate ili apate kitu bora cha kuendelezea stori yake! Watunzi wetu wengi wa filamu hawana hicho kitu na matokeo yake kuishia kutunga stori zilizokosa msuko mzuri wa matukio! Msuko wa matukio ndio unamfanya mwangiliaji wa filamu(au msomaji wa stori) apate hamu ya kuendelea mbele zaidi ili kujua kitakachotokea.
CLIMAX ZONE: Stori iliyokosa msuko mzuri wa matukio inakosa Climax Zone! Climax zone ni ile sehemu ambayo msisimuko wa filamu/hadithi umefikia peak kiasi kwamba mtu hawezi kuwa tayari kuacha kuangalia filamu/kusoma hadithi anapofikia kwenye climax! Ingekuwa kwenye tendo la ndoa, Climax Zone ni pale mtu anapokuwa tayari kupiga bao!
USHAURI: Watengenezaji wa filamu lazima wakubali kwamba si kila mtu anaweza kutunga stori kama wafanyavyo sasa! Kutunga stori kunahitaji kipaji na time! Unaweza kum-train mtu kucheza filamu na akafanya vizuri lakini huwezi kum-train mtu au wewe mwenyewe kutunga stori mzuri ikiwa kipaji cha utunzi hakuna. Stori iliyopwaya inaleta filamu mbovu hata kama waigizaji ni wazuri. Stori iliyosukwa vizuri inazalisha filamu itakayovutia kutazamwa na hata wasiojua lugha iliyotumika kwenye filamu husika. Ni bora watengenezaji wa filamu watafute watu wenye uwezo wa kutunga stori kuliko kulazimisha kuifanya kazi hiyo wao wenyewe kwani endapo yatakosekana niliyoyainisha hapo juu; filamu itapwaya.