Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Kazi nzuri kamanda!
Endelea kutuupdate.
Endelea kutuupdate.
Ndugu zangu kamera sina alafu simu ninayotumia kamera yake imekufa kutokana na safari za mara kwa mara.nasari ameongea mambo mengi mazuri na ya msingi,hakika hakuna matusi hapa, amehoji iweje maji yatoke arumeru,alafu arumeru wakose maji monduli wapate maji??
Halafu pia amehoji wazazi kudaiwa hela yakununua madawati wakati wa kupeleka watoto kuanza form one,mbona akimaliza form four haondoki na dawati lake?hakika ni hoja ya msingi kwa watanzania wote wanaopinga dhuluma na dili zisizo na tija.
Kuhusu kuoa amesema mke aoatoka kwa mungu, mke sio kitunguu hata kwenye banda la nje ya nyumba unapata kwa urahisi,na amesema kuanzia sasahi anaweza kuchukua MAAMUZI MAZITO KUHUSU HALIMA MDEE.
SO MDEE from now kijana ndio huyo anakuja kumaliza mambo,yaani fulu mzuka.MUNGU awajalie wafanikiwe wawe kitu kimoja.habari ndio hiyo doctor kama kawa anawajulisha watu halmashauri zao zinavyoliwa na mafisadi wa sisiemu.
Ntawajuza zaidi.
Ni kweli ufafanuzi ni muhimu hapo kuhusu kamanda Halima. Ndo kusema anaweza kuwa mumewe?1. Kuhusu madawati mkuu ni sera ya elimu na ni nchi nzima wanafanya hivyo sasa akipata ubunge sijui atabadilishaje maana sera zinazotekelezwa ni za CCM.
2. Hapo kwa MDEE sijaelewa vizuri, kwani kijana NASSARI anapumzika kwa MDEE au ndiyo anataka kuanza.
1. Kuhusu madawati mkuu ni sera ya elimu na ni nchi nzima wanafanya hivyo sasa akipata ubunge sijui atabadilishaje maana sera zinazotekelezwa ni za CCM.
2. Hapo kwa MDEE sijaelewa vizuri, kwani kijana NASSARI anapumzika kwa MDEE au ndiyo anataka kuanza.
Ndugu zangu kamera sina alafu simu ninayotumia kamera yake imekufa kutokana na safari za mara kwa mara.nasari ameongea mambo mengi mazuri na ya msingi,hakika hakuna matusi hapa, amehoji iweje maji yatoke arumeru,alafu arumeru wakose maji monduli wapate maji??
Halafu pia amehoji wazazi kudaiwa hela yakununua madawati wakati wa kupeleka watoto kuanza form one,mbona akimaliza form four haondoki na dawati lake?hakika ni hoja ya msingi kwa watanzania wote wanaopinga dhuluma na dili zisizo na tija.
Kuhusu kuoa amesema mke aoatoka kwa mungu, mke sio kitunguu hata kwenye banda la nje ya nyumba unapata kwa urahisi,na amesema kuanzia sasahi anaweza kuchukua MAAMUZI MAZITO KUHUSU HALIMA MDEE.
SO MDEE from now kijana ndio huyo anakuja kumaliza mambo,yaani fulu mzuka.MUNGU awajalie wafanikiwe wawe kitu kimoja.habari ndio hiyo doctor kama kawa anawajulisha watu halmashauri zao zinavyoliwa na mafisadi wa sisiemu.
Ntawajuza zaidi.
Nassari aachane kuzungumzia mambo ya ndoa; tatizo la viongozi wetu siyo kama wameoa au la.
1. Kuhusu madawati mkuu ni sera ya elimu na ni nchi nzima wanafanya hivyo sasa akipata ubunge sijui atabadilishaje maana sera zinazotekelezwa ni za CCM.
2. Hapo kwa MDEE sijaelewa vizuri, kwani kijana NASSARI anapumzika kwa MDEE au ndiyo anataka kuanza.
1. Kuhusu madawati mkuu ni sera ya elimu na ni nchi nzima wanafanya hivyo sasa akipata ubunge sijui atabadilishaje maana sera zinazotekelezwa ni za CCM.
Majembe yalisimama kutoa nasaha zao na kuomba kura kwa wana arumeru kwa joshua nasary.Mchungaji msigwa,meya wa moshi mjini, madiwani wa arusha mjini.mbunge wa karatu na viongozi wengind wengi tu wa chadema kutoka sehemu tofauti tofauti.
Doctor wa ukweli yupo ameshafika.watu ni wengi sana, kwa kweli hapa chadema wanasubiri tu kuapishwa kwa mbunge wao joshua nasari.watu ni wengi sana na wenye muamko wakutosha.hotuba wanazotoa viongozi wao ni zakutia moyo na kuelimisha.
Hoja iliyopo kwa sisiemu nikua vijana hawana vitambulisho vya kupigia kura,inawezakua nikweli alakini hata hao wazee wanao tegemewa na sisiemu hawako wengi kama vijana walivyo wengi, Nyerere ndio yupo jukwaani akimkaribisha doctor aliekaa darasani sio yule wa kichina alieko beach califonia sasahivi akifisadi kodi za watanzania.
Tulikua chuoni mwanza jana sidhani kama kuna mwanasisiemu hata mmoja jana.ntawapa update zaidi,ngoja nimsikilize doctor ndio anaaoza kazi.
ndugu yangu naomba chukua muda kunielewa,mwanafunzi anapoenda kuanza form one anatakiwa aende na dawati,kaaukijua kua hiyoshule sio mpya,kwamba labda kunamadarasa hayana madawati,wanaomaliza form four wanakua wameacha madawati sasa labda uniambie kama kuna baadhi yatakua yameharibika hapo sawa alakini suala la kila mwanafunzi kila mwaka kuja na dawati sio rahihi ng wizi huo.kuhusu mdee amehoji kama kupata mke ni shida kihivyo kama magamba wanavyofikiri basi anaweza kwenda hata kwa mdee akapata mke alafu mumpe huo ubvnge.,inahitaji kufikiri zaidi kuielewa hile kauli1. Kuhusu madawati mkuu ni sera ya elimu na ni nchi nzima wanafanya hivyo sasa akipata ubunge sijui atabadilishaje maana sera zinazotekelezwa ni za CCM.