Kinachojiri Arumeru sasa hivi

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Majembe yalisimama kutoa nasaha zao na kuomba kura kwa wana arumeru kwa joshua nasary.Mchungaji msigwa,meya wa moshi mjini, madiwani wa arusha mjini.mbunge wa karatu na viongozi wengind wengi tu wa chadema kutoka sehemu tofauti tofauti.

Doctor wa ukweli yupo ameshafika.watu ni wengi sana, kwa kweli hapa chadema wanasubiri tu kuapishwa kwa mbunge wao joshua nasari.watu ni wengi sana na wenye muamko wakutosha.hotuba wanazotoa viongozi wao ni zakutia moyo na kuelimisha.

Hoja iliyopo kwa sisiemu nikua vijana hawana vitambulisho vya kupigia kura,inawezakua nikweli alakini hata hao wazee wanao tegemewa na sisiemu hawako wengi kama vijana walivyo wengi, Nyerere ndio yupo jukwaani akimkaribisha doctor aliekaa darasani sio yule wa kichina alieko beach califonia sasahivi akifisadi kodi za watanzania.

Tulikua chuoni mwanza jana sidhani kama kuna mwanasisiemu hata mmoja jana.ntawapa update zaidi,ngoja nimsikilize doctor ndio anaaoza kazi.
 
wasira alirema nasary alinyimwa na wazazi wake baraka za kugombea arumeru,baba yake kasimama amejitambulisha kua yeye ni mchungaji na kumsifia mtoto wake nasary kua hakuwahi kufanya ukorofi wowote toka ameanza shule mpaka hapa alipo leo.wasira anapata wapi fake detail za hawa watu?
 
wasira alirema nasary alinyimwa na wazazi wake baraka za kugombea arumeru,baba yake kasimama amejitambulisha kua yeye ni mchungaji na kumsifia mtoto wake nasary kua hakuwahi kufanya ukorofi wowote toka ameanza shule mpaka hapa alipo leo.wasira anapata wapi fake detail za hawa watu?[/QUOTE]

Hili huwa nalifananisha na dume la nyani tu hamna kitu pale.
 
Niki recall hata igunga yalisemwa haya haya, mwisho wa siku wazee wazima wakalia na dr wako akaondoka bila kuaga
 
Ndugu zangu kamera sina alafu simu ninayotumia kamera yake imekufa kutokana na safari za mara kwa mara.nasari ameongea mambo mengi mazuri na ya msingi,hakika hakuna matusi hapa, amehoji iweje maji yatoke arumeru,alafu arumeru wakose maji monduli wapate maji??

Halafu pia amehoji wazazi kudaiwa hela yakununua madawati wakati wa kupeleka watoto kuanza form one,mbona akimaliza form four haondoki na dawati lake?hakika ni hoja ya msingi kwa watanzania wote wanaopinga dhuluma na dili zisizo na tija.

Kuhusu kuoa amesema mke aoatoka kwa mungu, mke sio kitunguu hata kwenye banda la nje ya nyumba unapata kwa urahisi,na amesema kuanzia sasahi anaweza kuchukua MAAMUZI MAZITO KUHUSU HALIMA MDEE.

SO MDEE from now kijana ndio huyo anakuja kumaliza mambo,yaani fulu mzuka.MUNGU awajalie wafanikiwe wawe kitu kimoja.habari ndio hiyo doctor kama kawa anawajulisha watu halmashauri zao zinavyoliwa na mafisadi wa sisiemu.

Ntawajuza zaidi.
 
kamanda lema kaingia kachelewa,salamu yake ya kwanza nikwa wanachadema kushika siki na kuaonza kuimba wimbo...mtoto huyu vipi...mtoto sio rizki,...mtoto hashikiki mto sio rizki...atakua anamsema yule vuvuzela wa chichiemu.kama kawaida hotuba za lema huwa zina mashiko sana unatamani asiachie maiki.mtanisamehe picha uwezo huo sina kwa leo jamani,due to some consiqunces.
 
Ndugu zangu kamera sina alafu simu ninayotumia kamera yake imekufa kutokana na safari za mara kwa mara.nasari ameongea mambo mengi mazuri na ya msingi,hakika hakuna matusi hapa, amehoji iweje maji yatoke arumeru,alafu arumeru wakose maji monduli wapate maji??

Halafu pia amehoji wazazi kudaiwa hela yakununua madawati wakati wa kupeleka watoto kuanza form one,mbona akimaliza form four haondoki na dawati lake?hakika ni hoja ya msingi kwa watanzania wote wanaopinga dhuluma na dili zisizo na tija.

Kuhusu kuoa amesema mke aoatoka kwa mungu, mke sio kitunguu hata kwenye banda la nje ya nyumba unapata kwa urahisi,na amesema kuanzia sasahi anaweza kuchukua MAAMUZI MAZITO KUHUSU HALIMA MDEE.

SO MDEE from now kijana ndio huyo anakuja kumaliza mambo,yaani fulu mzuka.MUNGU awajalie wafanikiwe wawe kitu kimoja.habari ndio hiyo doctor kama kawa anawajulisha watu halmashauri zao zinavyoliwa na mafisadi wa sisiemu.

Ntawajuza zaidi.

Ndiyo mahari ya SIOI
 
Hapo kwenye red kamanda nimecheka sana, kweli siasa nizaidi uijuavyo, haya sasa kamanda Halima ingia uwanjani ucheze kiduku
 
Back
Top Bottom