Kinachojadiliwa na hawa Mamis wanaoshindania Miss VODACOM Tanzania-ni utumbo

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Wanashawishi wasichana wawe na wanaume zaidi ya mmoja let say mmoja kwa ajili ya vocha mwingine matanuzi mwingine mambo flani!ili kukidhi haja zao hivi kinaporushwa maongezi yanakuwa ya namna hii kweli jamani inasikitisha sana kwa sababu kinaangaliwa na watoto wetu,dada zetu mama zetu na kuwafundisha kuwa ni vzr kuwa na mwanaume mmoja hebu me nafikiri wajalibu kufikiri namna au vitu vya kuonyweshwa kwenye publi kama ndo maongezi yao basi wayafanyie vyumbani mwao wajinga wakubwa!watia hasira sana!ahaaaaaaaa

Clous tv ijumaa saa tatu na nusu usiku kimeisha muda si mrefu!!

hapana "kaka watu wengi wanafikiria umiss ni umalaya no hapa sanaaa tu kama sanaa zingine"..miss IFM 2011

Sanaa gani? Iliyopo katika umiss? Hebu nipe majibu ya maswali yangu yafuatayo kuondoa zana kuwa hii sio fani ya watu kujifunza kufanya biashara ya matangazo ya kujiunza maumbo, sura n.k

Kwa nini zaidi ya asilimia 50 ya mamiss tanzania tabia zao hazitofautiana na machangudoa sema tofauti yao ni kuwa wao ni machangudoa wa Kempiski, Holiday Inn na wengine ni machangudoa wa kwa macheni?

hapana "kaka watu wengi wanafikiria umiss ni umalaya no hapa sanaaa tu kama sanaa zingine"..miss IFM 2011

Sina cha kukushauri mdogo wangu zaidi ya kukuambia pole kwa sababu umejiingiza katika industry ambayo ni very complex in progressing the work of breaking up the moral fiber of the society. I will real be shocked three years from now to find you in the group of women activists, while you are bringing up disgrace to your own gender. Poor ndetichia, i real pity you....... pole sana.

Njoja nikueleze saikolojia ya hawa wasichana. Hawa wasichana ni watu ambao hawajiamini na hawajajiwekea standard. Unajua kila mwanadamu lazima ajiwekee standard kwamba unakuwa na kikomo flani cha value yako. Sasa wewe kwenye fikra zako unawaza kuwa na wanaume wa kukupa mahitaji mbalimbali, kwanini usijishughulishe na shughuli za kujiletea maendeleo ili ujipe mahitaji yako uyatakayo? tena utafurahia kwasababu ni mafanikio ya jasho lako. Kufanikiwa kimaisha sio lazima uwe na elimu ya chuo kikuu, coz hicho ndo kisingizio cha watu wengi kutokuwa na maisha bora. Watu kibao hawajaebda shule lakini maisha yao safi. Hebu angalieni tu katika jamii wasichana waliolelewa katika misingi ya kijiamini mwenyewe, utakuta yuko tayari kuwa masikini kuliko kujidhalilisha, manaake kwa msichana kuwa na wanaume wengi ni kujidhalilisha. Unakuta msichana ananunuliwa chipsi na soda unaachia uchi na kuambukizwa ukimwi, inasikitisha sana. Ni wakati wa wasichana sasa kufanya mambo ya kujiletea maendeleo na kuacha kutegemea mapedeshee. Jamani mkiwa na watoto wa kike kwa wakiume jaribuni kuwajaza confidence about themselves itawasaidia sana maishani. Watu hawafanikiwi kimaisha kwa sababu hawajiamini na wanachofanya wanaona kwamba wanachofanya hakina thamani kumbe wangekuwa wana mafanikio sana kimaisha.

BR

Umalaya ni tabia ya mtu na haina uhusiano na mashindano ya u-miss. Kuna wasichana na wanawake wengi tu ambao wamepitia kwenye mashindano hayo lakini wanajiheshimu. Mfano Hoyce Temu, Shose Sinara, yule mhindi, Emily Adolf, Anna Maeda nk ambao maisha yao baada ya mashindano hayajagubikwa na skandali. Kitu muhimu ni kwa waandaaji kuwatayarisha dada zetu ili waweze kukabiliana na maisha ya usupastaa kwasababu kinachowaathiri zaidi ni ile hali ya kushindwa kukabiliana na aina ya maisha baada ya mashindano.

Ila pengine wapiwe akili zao if possible kwa sababu yaani wanavyoongea kwenye hicho kipindi ni malaya wiliokubuhu kbs walikuwa wanahojiwa na Salama J harafu uje useme watajiheshimu haooooo?????????

Umalaya ni tabia ya mtu na haina uhusiano na mashindano ya u-miss. Kuna wasichana na wanawake wengi tu ambao wamepitia kwenye mashindano hayo lakini wanajiheshimu. Mfano Hoyce Temu, Shose Sinara, yule mhindi, Emily Adolf, Anna Maeda nk ambao maisha yao baada ya mashindano hayajagubikwa na skandali. Kitu muhimu ni kwa waandaaji kuwatayarisha dada zetu ili waweze kukabiliana na maisha ya usupastaa kwasababu kinachowaathiri zaidi ni ile hali ya kushindwa kukabiliana na aina ya maisha baada ya mashindano.

Umalaya ni moja tu kati ya zao la tasnia ya urembo, lakini la kusikitisha zaidi ni wanawake wenyewe kujidhalilisha halafu baadaye wanakuja na kelele zao za haki za wanawake. Hivi kweli wewe na akili zako unapita mbele ya hadhara nusu uchi ili wa kutoe maksi, in the name of mashindano, what a shame? Isn't there any other way to make life more than this of disgracing one's gender???

Ngoja niongezee hapo. Hapa sasa siongelei mamiss tu naongelea watu wote. Unakuta mtoto wa shule anaenda shule anatandikwa kinoma na maticha, akirudi nyumbani anatandikwa na wazazi anaambiwa yeye ni mtoto hajui kitu. Hii inamjengea mtoto uoga unakuta watoto wakiojiwa kwenye TV anaonaona aibu kujielezea. Umeona watoto wa kizungu walivyo wanajiamini? Mi nilikutana na mtoto wa kizungu wa miaka 8 yaani uwezo wake wa kufikiri ulinishangaza sana. Nikaja kugubdua kwamba sio kwamba ana akili kuliko mtu mweusi, la hasha nikagundua kwamba anaamioni kwamba idea zake ni strong kama mtu mwingine yoyote katika age yake za zaidi. Solution ni kwamba kama una mtoto mchape mpaka awe na umri wa miaka 5 then kuanzia hapo ni counselling tu ndo inakuwa inafuata. Counseling inajenga zaidi ya kiboko.

Ciao

Umalaya+shule ndogo,ukiangalia weng wao ni 4m 4 leaverz wakaenda english courz..

Zamani haya mambo ya u-miss yalikuwa na heshima yake kidogo. Hata washiriki waliweza ku qualify interms of being intellectuals na pia they had good morals. Lakini kadri miaka inavyozidi kwenda viwango vinashuka na hata hilo taji lenyewe limeshuka thamani!

sasa ili mtu ashinde inabidi umpigie kura.sms 150tsh.yani kama bongo star searc(bss).so hapo tegemea kutumiwa 200000tsh ya kumpigia mtu fulani kura.halafu mwisho wa siku ataitwa miss Tanzania.mia

Wanashawishi wasichana wawe na wanaume zaidi ya mmoja let say mmoja kwa ajili ya vocha mwingine matanuzi mwingine mambo flani!ili kukidhi haja zao hivi kinaporushwa maongezi yanakuwa ya namna hii kweli jamani inasikitisha sana kwa sababu kinaangaliwa na watoto wetu,dada zetu mama zetu na kuwafundisha kuwa ni vzr kuwa na mwanaume mmoja hebu me nafikiri wajalibu kufikiri namna au vitu vya kuonyweshwa kwenye publi kama ndo maongezi yao basi wayafanyie vyumbani mwao wajinga wakubwa!watia hasira sana!ahaaaaaaaa

Mkuu ili shindano lenyewe ni haramu kabisa,huwezi kuwaweka wasichana uchi na ukatengeneza hela nyingi kupitia kumdhalilisha mtoto wako...yule Hashim Lundenga wale ni watoto wake kulingana na umri wake.......Kimsingi na mie nimewaona siku moja kupitia STAR Tv wakijadili mambo na kuwaonyesha wakiwa kwenye jumba lao la VODACOM....hakika huu ni moja wa mfumo wa kuwafundisha dada zetu ufirahuni,umalaya,uhuni,ushenzi,upumbavu,ujinga,uhafidhina,uzinzi,uasherati,uhanisi nk.....wanawake muwe mstari wa mbele kupinga hili shindano......

Ngoja niongezee hapo. Hapa sasa siongelei mamiss tu naongelea watu wote. Unakuta mtoto wa shule anaenda shule anatandikwa kinoma na maticha, akirudi nyumbani anatandikwa na wazazi anaambiwa yeye ni mtoto hajui kitu. Hii inamjengea mtoto uoga unakuta watoto wakiojiwa kwenye TV anaonaona aibu kujielezea. Umeona watoto wa kizungu walivyo wanajiamini? Mi nilikutana na mtoto wa kizungu wa miaka 8 yaani uwezo wake wa kufikiri ulinishangaza sana. Nikaja kugubdua kwamba sio kwamba ana akili kuliko mtu mweusi, la hasha nikagundua kwamba anaamioni kwamba idea zake ni strong kama mtu mwingine yoyote katika age yake za zaidi. Solution ni kwamba kama una mtoto mchape mpaka awe na umri wa miaka 5 then kuanzia hapo ni counselling tu ndo inakuwa inafuata. Counseling inajenga zaidi ya kiboko.

Ciao

Thanks

Mwita kaa na warembo wanaoshiriki watakwambia kuna siri nyingi sana pale,na kama demu wako akishiriki na akienda kambi tu achana nae

Umalaya ni tabia ya mtu na haina uhusiano na mashindano ya u-miss. Kuna wasichana na wanawake wengi tu ambao wamepitia kwenye mashindano hayo lakini wanajiheshimu. Mfano Hoyce Temu, Shose Sinara, yule mhindi, Emily Adolf, Anna Maeda nk ambao maisha yao baada ya mashindano hayajagubikwa na skandali. Kitu muhimu ni kwa waandaaji kuwatayarisha dada zetu ili waweze kukabiliana na maisha ya usupastaa kwasababu kinachowaathiri zaidi ni ile hali ya kushindwa kukabiliana na aina ya maisha baada ya mashindano.

sasa ili mtu ashinde inabidi umpigie kura.sms 150tsh.yani kama bongo star searc(bss).so hapo tegemea kutumiwa 200000tsh ya kumpigia mtu fulani kura.halafu mwisho wa siku ataitwa miss Tanzania.mia

Mia.

Back
Top Bottom