Kinachofuata ccm!

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Kwanza kabisa ni nimpongeze mh. G. Lema kwa kutopoteza muda kukata rufaa.
Maana haki haikutendeka kwenye hukumu ya kesi hiyo.
Pili ni ishukuru ccm kuamua kumvua ubunge mh. G. Lema maana imekuwa kama amempiga teke chura aliyekuwa anajiandaa kuruka kuelekea upande ule ule, kila mtu anajua hata Mh. Rais wetu kwambo ccm imekosa muelekeo imelewa uroho wa madaraka, inanuka damu ya wananchi waliokufa kwa kukosa huduma bora. Ifikapo mwaka 2016 tutahakikisha viwanja vyote vya michezo kila mkoa ambavyo ccm inasema ni vyao na majengo yote ya gorofa yaliyokuwepo kabla ya vyama vinataifishwa na kurejeshwa sekalini, na viongozi wote wakuu wa nchi waliotumia madaraka vibaya tutawafungulia mashitaka.
 
Ni mwamko safi sana na nimefurahi mh. hakukata rufaa, ngoja thithiemu waaibishwe tena kupitia sanduku la kura!

CCM kwaherini, mmejitengenezea jeneza wenyewe Arusha na Tanzania kwa ujumla, sasa nimeamini ni vigumu ccm kufika 2015ikiwa na uhai

  • :smile-big:
 
Siyo kuwafunguli mashitaka tu! KWELI WATATUKOMA. Lowasa hautakua kiongozi wa munduli milele. Haya
 
si mdau wa redio ya wafu lakini nimeipenda hii 2012 dunia yako chaguo lako chagua kuwa na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi chagua kutengua ubunge. Hii ndo tanzania bana tusifanye makosa 2015
 
Hivi ccm hawajui kuwa wanaamusha mabadiliko kupitia hizi chaguzi ndogo, mi nahisi mzee EL anawatesa ccm kwa kuwa keshaona hakubaliki si kwa wananchi tu bali hata ndani ya ccm, sasa kaamua kuipoteza ccm mazima au anapima upepo, keshaona arumeru ambako mkwewe alivyochanwachanwa na kijana Nasari, lakini huku arusha anapima upepo ilihali kumbe si upepo bali ni tufani la katrina
 
Kinachokuja Tnz,hii ni umwagikaji wa damu nyingi isiyo na hatia Tena viongozi wengi watakufa sana! Hili ni agizo toka kwa Mungu.
 
nawazia namna gani mpiga debe yeyote atakavyoipigia debe ccm kwene kampeni uchaguzi mdogo Arusha mjini.mmhm itakuwa kama wanajianika juani.nauliza ujasiri huo utatoka wapi?tunasubiri
 
tukio la ARUMERU ni dalili kwamba chukua chako mapema(CCM) muda wake umeisha na sasa hivi tuna machungu na wabunge wao wanaotaka kuongezewa mishahara eti kwa kisingizio cha kupanda kwa gharama za maisha,U HAVE NO SHAME AT ALL
 
Back
Top Bottom