Kinachoendelea TUNDURU.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
JF, ninahisi MEDIA zimezibwa mdomo juu ya kutoa taarifa ya kinachoendelea huko tunduru, hata hivyo, nimedokezwa na mtu mmoja aliyekuwa Namtumbo kuwa kuna kampeni inaendelea kwenye nyumba za ibada kuwa waislam waepuke kuishi nyumba moja na wasio waislam.

MYTAKE: JE, NI MAANDALIZI YA VITA YA MAANGAMIZI KWA WASIO WAISLAM. UKIMYA WA SERIKALI PIA UNATIA MASHAKA.
 
hatna serikali mkuu.ipo likizo hivyo tunajiendesha wenyewe.cha maana huko ni kuomba,hao maangamizi yatawarudia wao wenyewe.
 
Ahhh, wataudhuru mwili lakini kamwe hawawezi kudhuru roho yangu ambayo ni hekalu la Bwana Yesu.
Mtawakanyaga nyoka na nge, nao hawata wadhuru, PEPO watawatiini, mkilishika neno lake.
Jiulize mapepo yanafugwa na nani?
 
Yesu ni njia ya amani.Hakuna mungu kama wewe.Mfumo kristo ni kama mvua,huwezi zuia mvua.
 
na sisi ulioolewa na waislamu inakuwaje hapo? itabidi waanze na kutenga vilabu vyao maana tunashea kikopo kimoja kwenye komon
 
hatna serikali mkuu.ipo likizo hivyo tunajiendesha wenyewe.cha maana huko ni kuomba,hao maangamizi yatawarudia wao wenyewe.

..


...









Umekosea sana, ingekuwa likizo si ingekuja kusawazisha mambo!!!



Ni kwamba imekufa kabisa!!




.
 
Kama ni kweli wapo waislam wanaofanya hivyo inabidi wakamatwe na waasiwe ili kutokomeza kizazi chao.Waislam na wakiristo siku ya mwisho wote tunakwenda kwa mungu mmoja hakuna mungu wa pili.Warudi na kusoma vitabu vizuri sala na maombezi yote wanayofanya yanakwenda kwa huyo huyo mungu wakristo wanayomwamini na kumtukuza bila chuki na wao.
 
Back
Top Bottom