Kinachoendelea SALENDER BRIDGE

friendsofjeykey

Senior Member
Aug 12, 2010
129
13
Hivi mmeona ule upuuzi unaotaka kuendelea pale Salender Bridge? umeanza upande wa Ubalozi wa Urusi....

Mwenye macho haambiwi ona
 
Jamani kuna nguzo zimechimbiwa kuanzia ubalozi wa Urusi hadi darajani. Inaonyesha kuwa kuna bango kubwa sana lintawekwa ambalo litaziba mandhari yote ya eneo lile ndiyo maana waheshimiwa wanasema upuuzi. Kwa kweli ni jambo zuri. Ni vizuri wahusika wakachukua hatua sasa wasingoje when is too late.
 
Nakumbuka kuna mwaka mtu mmoja alitaka kushitakiwa na tume/baraza la mazingira kwa kukata mikoko na kutaka kuweka bango la tangazo, sasa inakuwaje sasa hivi waruhusu?
 
Isije kuwa ni kwa ajili ya mabango ya mheshimiwa swahiba wako maana sasa anafanya kufuru lakini haisaidii kitu
 
Nakumbuka kuna mwaka mtu mmoja alitaka kushitakiwa na tume/baraza la mazingira kwa kukata mikoko na kutaka kuweka bango la tangazo, sasa inakuwaje sasa hivi waruhusu?

Bongo ukisikia mtu anakubania usifanye jambo fulani mahala fulani ujue anataka umpoze.

Watu watakuwa wameshapozwa tayari.

[Na hilo bango lazima litakuwa na watu wa Bombay tu]
 
Amepewa mtu kujenga pale ndio anaweka uzio wa mabati ambayo yatakuwa na mabango ya CCM....ILE MIKOKO YOOTE itakatwa
 
Back
Top Bottom