Kinachoendelea Mji mkuu Dodoma kwa Sasa

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Takribani masaa 3 yamepita tangu wananchi wa mji huu kushindwa kwenda sehemu mbali mbali za ndani ya mji na wengine kwenye shughuli za ujenzi wa taifa
Kuna mgomo unaendelea wa Daladala. Wahusika malizeni suala hilo mapema.
Msishangae ndo mji mkuu huo jamani
 
Tupe taarifa kamili wanagomea nn labda ndo 2sishangae hilo tatizo, coz hawawezi kugoma na ni daladala zote au baadhi?
 
Dodoma kuna uhuni wa hal ya juu wa viongozi kuanzia mkoa hadi kijiji tatzo ni ccm imejikita sana ktk mambo ya msingi.Ona hata bus stand tu hakuna kuna kama ka njia tu ka kupitia mabasi.Na CDA IPO TANGU MIAKA YA 1980 KWA KUSTAWISHA MAKAO MAKUU YA NCHI MATOKEO YAKE HAMNA JIPYA.Wanapenda tu kudai kodi za daladala hata kutengeneza miundombinu hamna!,na mvua ikinyesha pale dodomaa standi inakuwa ni zaidi ya ziwa hasa ile ya jamatini ilhali ofisi za CDA ZIPO MITA CHACHE KUTOKA HAPO STAND.Wafanyakazi wa CDA WANALIPANA MISHAHARA HADI 4ML KWA MTU.C.A.G fanya ukaguzi hyo ofisi.
 
Back
Top Bottom