Kinacho muponza Pinda upole wake anaweza angusha kama si leo kesho

Apr 9, 2012
78
8
Waziri mkuu Pinda binafsi sijawahi kuwa naye mahali popote nilimufahamu alipo teuliwa kuwa PM alipojiuzulu Lowasa ni mfipa asili nami pia toka kabila dogo la wanyamwanga 'fipa'naye ni' mupimbwe mufipa kwa faida yenu wafipa ni wapole toka ndani ya moyo yaani wanyenyekevu ndio maana hupenda kusalimia kwa kupiga magoti hawapendi kusalimiana na wakwe karibu mzazi wa kifipa anaweza kumuchapa mtoto wake wa kiume wa miaka 60 na huyo mtoto akatii sasa ndugu zangu tabia hizi zipo kwa Pinda.

PM zote hii ndio sababu mawaziri wana mupanda kichwani anashindwa kuwasema kwa kutii agizo la aliye wateuwa raisi, hataki kuwaudhi kumbe ndio wanamuchukulia poa mtoto mwizi akijua baba ni mpole basi anaweza kuuza mifugo yake yote kwa ansurance kuwa hawezi kumufanya lolote na hii hupelekea familia kuwa masikini na baba uzeeni kufa vibaya na hata kutelekezwa na walio kuwa wanamwibia mifugo yake ndivyo ilivyo mwisho wa siku wale walio kula nchi awamu ya nne watasema tatizo alikuwa waziri Pinda mtoto wa mkulima kifipa 'ekalima wa londe'
 
Tatizo sio Pinda tatizo ni aliyewateua maana mawaziri wengine wako karibu kuliko hata Makamu wake na wanafanya wayatakayo bila kujali kwasababu ya uswahiba na je tugemee nini kama mtoto wa mkulima atondoka?
 
..huo utakuwa ni UPOLE unaoambatana na UKATILI.

..wananchi wanataabika kiasi hiki wakati wakubwa wananeemeka halafu mnaita huo ni upole??

..au, Raisi anasafiri nje ya nchi na kuhudhuria sherehe za chama tawala cha Botswana wakati wananchi wake wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari huo nao ni upole??
 
We ni mnyamwanga kama mm. pinda amedumaa na matatizo alipokaa bench kwa mkulu miaka mingi ndo ushujaa wa kuongea ukamtoka. angepata kwanza mtu wa saikolojia kabla ya kukalia kiti.
 
Nikweli ndugu yangu bt huyu pinda hakuteuliwa direct hakuwa chaguo la mzee hivyo lazima anaangalia kushoto kulia ili atoe maamuzi tupime na hili jamani 'wanawitu'
 
Mimi nadhani ifike mahala tutofautishe upole na uzuzu. Hii serikali haina mpole hata mmoja, si jk wala pinda bali ina mazuzu wote tu.
 
Upole ndugu upo naukitumika isivyo pasa basi ndio matokeo,unayoyasema lakini unakumbuka ya jairo alidharauliwa mno huyu Pm sasa je atakuwa na ujemadari gani kukemea wezi?
 
Nikweli ndugu yangu bt huyu pinda hakuteuliwa direct hakuwa chaguo la mzee hivyo lazima anaangalia kushoto kulia ili atoe maamuzi tupime na hili jamani 'wanawitu'
 
hawez kuamua lolote kwan kuna weny saut zaid yake kama pm
 
kapanic kwa ngumi wanazo pewa.

525567_2628224883592_1794432560_1618538_661774736_n.jpg
 
Back
Top Bottom