kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

ukitaka mwanamke mwenye sifa unazotaka wewe mwambie mama yako akuzalie kha!!!
 
swala la mapishi is very important na kama mwanamke haujui kupika cv yako inashuka sana.
mbona mimi mume wangu anajua kupika kuliko mimi naamenifundisha kiasi na anaendelea kunifundisha ila cv yangu haijashuka?
 
Kwanza biashara yakupikiwa na mwanamke ni huko kijijini huku mijini hamna hiyo labda weekend na sio wote wengine kazi mpaka jpili unafika hm 3au 2usiku ndio utapika :mimi siajiri housegal asiyejua kupika?maana ndio wapishi wetu wakuu asikatae mtu hapa ndio ukweli wanawake wengine maisha haya ya kutoka usiku kurudi usiku na huko kupika anasahau.
 
...Mi kwa ufupi tu nikiongea kama mwanaume,suala la kwanza na target yangu kutafuta wifey to be ni ''HUMAN AS HUMAN BY HERSELF WIZ OL QUALIFICATIONS TO BE A GUD WIFEY'',ukirudi kwenye criteria hizo ziko nyiiingi na very tofauti kwa kila mwanaume,ila kwa ushauri wangu ni kwamba kama ana criteria zote za kuwa wifey,vuta ndani sababu KUPIKA NI ACQUIRED SKILL,i.e ni UJUZI WA KUJIFUNZA na si GENETICAL/KURITHI,ambao mwanamke au mwanaume anaweza kuwa nao akitaka kujifunza,MY POINT NI KWAMBA ATAJIFUNZA KAMA NI WA KUJIFUNZA,kwa Mie sabu niko tofauti na wewe na mwanaume mwingine,NINGEBEBA...
 
men luv 3 things naic food, sex and sleep akipata hivyo kwisha habari naic food sio cha housegirl lakini
 
mbona mimi mume wangu anajua kupika kuliko mimi naamenifundisha kiasi na anaendelea kunifundisha ila cv yangu haijashuka?

hongera Nivea mijianaume mingine kazi kula baa tu eti kisa mkewe hajui kupika vilivyo
 
Kupika muhimu, hata yeye analijua hili. Thats why weekends anaamua kuingia jikoni mwenyewe, sio kila siku house gals
 
Hilo swala nyeti sana,mimi kwangu linakipaumbele sana baada ya tabia linafuata hilo vingine ni added advantage ukizingatia m2 kama mimi ni vegetarian kwahyo lazima mama watoto ajue kupika kwa ubunifu vyakula vya kawaida kwa namna ambayo kila siku nitakuwa ninatamani kula.
Hilo la msingi sana kaka,kuna rafiki yangu anamke wake kwa kweli mapishi yake hayavutii hata kidogo mshikaji anapata tabu sn siku za w'end anazoshinda hm,huyo mrembo akikupikia chapati za kusukuma sasa ndy utakoma,siyo amoeba wala siyo kaukau ni balaa tunakula sisi tu ,tuliomzoea mgeni huwezi kumpa hizo lazima ukamnunulie mkate!...
 
not really!! unless you are a chef or cook for parties, cooking skills aren't so important in choosing mwanamke. Most of us know basic cooking and those who don't can afford restraunts or a house girl
HATE. (Kama kungekuwa na sehemu ya kugonga hate ningekugongea hate) utaayajua mawazo ya wavula tu. wew nadhani kivulana. preta umeyaona mawazo ya wavulana? ndo hayo sasa
 
most wanapenda sana tena cio kupika 2 pia asiwe na mkono wa birika.maana wengine utakuta anmpikia mmewe tu wa2 wengine c mkarimu kabisa asa ukikombain kupika+ukarimu kwa m2 yeyote most like it
 
most wanapenda sana tena cio kupika 2 pia asiwe na mkono wa birika.maana wengine utakuta anmpikia mmewe tu wa2 wengine c mkarimu kabisa asa ukikombain kupika+ukarimu kwa m2 yeyote most like it
 
HATE. (Kama kungekuwa na sehemu ya kugonga hate ningekugongea hate) utaayajua mawazo ya wavula tu. wew nadhani kivulana. preta umeyaona mawazo ya wavulana? ndo hayo sasa
:lol: :lol: :lol: :lol: :lol: :lol: :lol: :lol: kama hukusoma sayansi kimu nenda cooking class, kupika kunafundishika.
 
Ningependa kujua kupika lakini habari ya kuungua aloo inanitoa amani. Mama ntilie si wapo bwana, sioni kama ina umuhimu
 
Kwa style hii tusiojua kupika mahanjumat ya mombasa naona ndoa tutazisikia kwenye bomba kwa kweli..
 
Kwanza mihuwa sipendi wanaqake wazuri wa kunitia mipresha, awe na Tabia nzuri na mkarimu anaweza kupika chakula kitakachofanya Kila siku nyumba ikajaa wageni wageni kwa kupikiwa vizuri na kukarimiwa!
Pia sifa nyingine ya mwanamke nimpendaye ni kuwa na heshima kwa wazazi wangu ESP mama!
 
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia

Mapishi gani? Jiko gani?
Maana isiwe unaongelea mapishi ya kitandani halafu si tuna comment mapishi ya jikoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom