Kina kaka mnawazaga nini kabla ya 'kumtokea' mdada

siku hizi hakuna hiyo mambo ya ohhh nimekufia.....unamualika ki-date...mara ya pili unamkaribisha getho/room.........ya tatu action....hakuna maneno mengi!

Yaani hapo approach yako itakuwa imekaa ki-gentleman sana! Ila nakwambai kabisa hata siku ya kwanza ukijitoa ufahamu unaweza kushangaa mzee umekula tunda!
 
Naomba niwaulize kaka zetu huwa mnafikiria nini au mnajipangaje kwenda 'kumtokea' demu..
kwasababu inafurahisha sana wakati mwingine mtu anakwambia kitu kama 'sista nimekumind naona unalipa sijui unafaa kuwa demu wagu'...:lol: dooh kweli nikicheka nakuwa nimekosea
Kina dada please share experience za kutokewa zilizokufurahisha

Mimi huwa siwazi ila huwa nasifia sana uumbaji, tena huku nikiongea mwenyewe....!!!! Kwenye suala la uumbaji uliotukuka kwa kweli akili huwa zinaniruka kabisa, nakuwa siwazi kimya kimya bali kwa sauti!
 
Mie huwa naanza kumvua demu nguo zake kimawazo hadi ya ndani halafu kitu kinachukua futi huku naendelea kumuimbisha:becky::becky::becky:
 
Ohh.....No starting Point u will find ur self somewhere....in the middle heading to success or failure...dah..but usiombe kumsikia mwanaume mwenzio akitongoza...unaweza fikiri huyu jamaa ndio anaongeaga hivi...kisha unasikia kasha menga...hakuna formula kwa kweli...huwa ni some kind chemistry....flan hivi....unajikuta unapata.
 
siku hizi hakuna kokoro wengi outing moja hiyo hiyo watu wanamega mzigo.all in all kuna njia nyingi inategemea na binti mwenyewe yukoje.:playball::focus:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom