Kina Jairo wasipofikishwa mahakamani tuandamane.

Mpanzi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
785
440
Kamati ya bunge imethibitisha kuwa Jairo and Co waliiba, wasipofikishwa mahakamani nitaamini sheria hazikutungwa kwa ajili ya watu wote.
 
Very bad mentality that 'every problem faced by our society can be solved through' MAANDAMANO!!! Mtikila alipeleka shauli lake kuhusu mgombea binafsi through legal channels na aliweza kushinda, note that is just one person.
 
Yaani hata Luhanjo anastahili kufukuzwa kazi ili anyimwe pensheni liwe fundisho la watu kusimamia na kulinda wizi wa mali ya umma
 
Maandamano hayajawahi kuwa na matunda lakini kwa kuwa wewe unawashwa miguu fanya hivyo. Ukweli ni kwamba Rais atawanyoa kavu kavu.
 
Back
Top Bottom