kina dada wafundeni wenzenu...!

attachment.php
Huyu naona amekubuhu kwenye matengenezo ya uso tu, hiyo mikono, makwapa, miguu sio deal kwake!
 
Kikwapa cha namna hii kinakera sana na kinaondoa 'hamu', bora hata huyu wangu anayekinyoa vizuri na kujipiga mapoooooowda
 
Solution ya kikwapa ni kunyuka pamba nyeusi kwisha kazi kama kinatema unanyuka Unyunyu ata wa buku tano
 
Halafu kuna wakuja wanaona ajabu watu wa mwambao tunavyojifukiza udi, laiti wangejuwa maana yake, wasingeitaja "deodorant", hizo ndio za kwanza kuharibu mazingira ya mwili.
 
Sasa hapo hiyo mijasho plus hizo pafyumu zao kama ya mbu mwanangu ni balaa, unaenda nae gheto Mzee umedatishwa na shoo za mauno na vichupi vya gwasuma, ngoma imesimama dede unataka upoze mchungu yeye yuko mbwaaa...achilia mbali kwenda bafun hawezi hata kutembea...hapo mie ndio nageuka kuwa alshabab, bora lawama kuliko fedheha, akisema nilimbaka atajiju, lazima nimkunje ''milima ya kwetu upaleni'' then naisimamia kama baiskeli vile mlimani, nashusha mzigo nasepa. Wacha punda afe mzigo umefika. Wee dem kafakamia mibia nusu kreti alafu anataka mambo ya video ndio anipe wakati domo linatoa harufu kama choo cha stendi, simsogelei hata kidogo. Hovyo kweli hawa wadudu!
 
Sema tu...huwezi jua...tunaweza tukajikuta tuko wawili wenye fetish za vikwapa....

Mi nshaambiwa eti nina fetish na vikwapa vya mashori lol

ujue mwanamume kama anaoga vizur na kujipaka perfum atanukia vizuri ukikutana naye na hata ukikaa naye karibu hutakaa usikie ananuka kikwapa ila akiwa kavua shati hlf msichana wake akiwa ubavuni mwake kuna kaharufu fulani hivi huwa kanafurahisha sana.
Ila hapa inabidi raia wanielewe,simaanishi harufu ya kikwapa kama kile cha mtu hajaoga siku nzima au kikwapa cha mwendesha guta,yaani hii ni harufu fulani ambayo inakufanya ujue uko na mwanaume.
 
umeonaa eeh yaani mi kinanifanya mwili wote urelax kama mtoto mchanga hlf sitaki kubanduka hapo ubavuni kwake ili nikisikie vizuri.

Mhuu. . .
Ili tusinyimane starehe kampeni ya kung'arisha kikwapa inahusu kwakweli. Mtu unahisi uko safe, warm and pleased.
 
Sasa hapo hiyo mijasho plus hizo pafyumu zao kama ya mbu mwanangu ni balaa, unaenda nae gheto Mzee umedatishwa na shoo za mauno na vichupi vya gwasuma, ngoma imesimama dede unataka upoze mchungu yeye yuko mbwaaa...achilia mbali kwenda bafun hawezi hata kutembea...hapo mie ndio nageuka kuwa alshabab, bora lawama kuliko fedheha, akisema nilimbaka atajiju, lazima nimkunje ''milima ya kwetu upaleni'' then naisimamia kama baiskeli vile mlimani, nashusha mzigo nasepa. Wacha punda afe mzigo umefika. Wee dem kafakamia mibia nusu kreti alafu anataka mambo ya video ndio anipe wakati domo linatoa harufu kama choo cha stendi, simsogelei hata kidogo. Hovyo kweli hawa wadudu!

Kwahiyo unaona sifa kutembea na "wadudu" ambao wako hovyo? Nadhani hiyo inaonyesha na wewe ulivyo hovyo.
 
ujue mwanamume kama anaoga vizur na kujipaka perfum atanukia vizuri ukikutana naye na hata ukikaa naye karibu hutakaa usikie ananuka kikwapa ila akiwa kavua shati hlf msichana wake akiwa ubavuni mwake kuna kaharufu fulani hivi huwa kanafurahisha sana.
Ila hapa inabidi raia wanielewe,simaanishi harufu ya kikwapa kama kile cha mtu hajaoga siku nzima au kikwapa cha mwendesha guta,yaani hii ni harufu fulani ambayo inakufanya ujue uko na mwanaume.

Ooh haya...:lol::lol:
 
Nadhani hapa wengi hamna ufahamu na sayansi ya kutoka jasho. Cha kwanza hiyo nguo inayoonyesha dhahiri jasho linapotoka ni nguo ya pamba. Nguo ya pamba ni ngupo bora kabisa kwa afya na inapopata maji kama ni ya rangi basi rangi hiyo hukolea zaidi na kuonyesha sehemu iliyolowa.

Pili, pale yawezekana aliposhikwa na mwanaume huyo "jina namhifadhi maana namfahamu ni mume wa mtu na anaheshimika" alipata mhemko au msisimko, hivyo kichocheo "hormone" huwa kinaamka na kuchochea mwili kureact na situation na ndicho kinachofanya mwili kukusanya nguvu ya kufanya kitu chochote kinachohitaji nguvu kwa haraka. Kichocheo hicho kikitoka aidha uwe na furaha sana, hofu, wasiwasi, woga, mshtuko au msisimko basi kisipotumika haraka na mwili ili kupunguza madhara hurekebishwa kwa jasho kutoka. Si kitu unachoweza kuzuia kwa hizo deodorant zenu au perfumes. no ni "involuntery action" au kitendo usichoweza kukizuia. Kumsema mtu wa namna hiyo si sahihi kabisa na ni sawa na kumcheka mtu mwenye ulemavu maana sio kusudio lake na inaonyesha huna nidhamu au heshima kwa watu wengine. Unachoweza kupunguza ni harufu maana jasho hilo tofauti na mengine likikaa muda mrefu hutoa harufu kali na inaweza kukukera. Hivyo ni vema inapotoka unatafuta faragha unaosha.

Jasho hili ndilo linalotoka pia pale mechi ya kule kwenye viwanja vyetu vya 6 x ngapi sijui pale mmojawapo anapofikia golini au kupata burudani/kuridhika na mchezo, na kaharufu kake huweza kukuongezea spidi ya hisia za mchezo wenyewe.

Ni jasho jema sana na muhimu, watu wa mjini wengi kutokana na aina yao ya maisha wanalipoteza, na wanapolipoata wanaona ni swala la kijamii badala ya kibaiolojia, ila wale wanaoishi vijijini na wanakula vyakulavya asili na mazoezi ya asili mfano kutembea kulima huwa na jasho hili muhimu. Watu hawa ndiyo wale ambao wakikutana na jambo au mechi huwa wa asili kabisa maana akili yao huhusika wka jambo lile tu bila hila wa la hiyana tofauti na wale wa mjini.

Utakuwa binadamu wa ajabu kabisa huna kaharufu hata ka aina yeyote ka asili yako? Unaishi kutegemea viharufu vya bandia? Ndiyo maana hata mahusiano yana shida sikuhizi maana mtizamo ni tofauti na tumepoteza ujuzi wa kujua hata maana ya hizi harufu. Vimebaki kwa asili kwa viumbe wengine na wanazitumia vema.
 
hawa bwana washave makwapa yao na ku2mia izo deodorant, duuh kweli aibu mmh.
 
Back
Top Bottom