Kina dada, tabia tegemezi & vizinga ni ya aibu na fedheha!

teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)

waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
 
Aibu ni kwa hao wanaume wanaolialia kisa wanahudumia, kama hawako tayari kuhudumia basi wasitongoze,walisema" Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga"
Yani tuokote mabaki majaani tukalele kuku ili tujihudumie na wao aje kibembea free? No thank you madame.
Kama wamekutuma waambie hivi "sweat for sweet men"
 
Waliambiwa watakula kwa jasho lao,si chakula peke yake...hata vile vinavyomeza wenzao.
 
Usingechangia hivi ningekata kichwa changu....!
 
teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)

waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
kwa hyo unataka ulipwe na kitandani uridhishwe sio?
 
teh teh teh teeeeh!! ngoja nicheke mie. kama una uhakika wa kupata maziwa kufuga ng'ombe ni kihere here chako(wahenga walinena)

waambie wasilalamike ndio uanaume huo,wasisahau na kula vizuri na kufanya mazoezi wajenge heshima na kwenye naniliu
Haya bana..
 
Ushawahi sikia wanaume wenye pesa wanalalamika kuombwa hela? Hizi kelele za humu za wauza karanga ndo tusipumue..... Mtu ana anzisha thread eti kaombwa buku ten
Mizinga hauepukiki hadi pumzi ya mwisho
una maneno weweee...:):)
 
aisee mizinga haiwez isha..tatizo mwanaume anafanya kazi ya kuingiza jero halafu anataka mademu wakali! jifunze nawe kuhudumia km wenzio waliomfanya akawa mkali! halafu hizi mambo za kulia lia mizinga kwa wanaume humu ndani zikomee!
 
Aibu ni kwa hao wanaume wanaolialia kisa wanahudumia, kama hawako tayari kuhudumia basi wasitongoze,walisema" Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga"
Yani tuokote mabaki majaani tukalele kuku ili tujihudumie na wao aje kibembea free? No thank you madame.
Kama wamekutuma waambie hivi "sweat for sweet men"

yaani awaambie kabisa kuwa hii ni mision impossible, wao walie tuuu, wakiona ngumu wamuombe Mungu awabadili jinsia tu, ila hela lazima watoe.
 
When a woman have no brain, the private parts suffer alot.
By Mugabe
Aibu ni kwa hao wanaume wanaolialia kisa wanahudumia, kama hawako tayari kuhudumia basi wasitongoze,walisema" Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga"
Yani tuokote mabaki majaani tukalele kuku ili tujihudumie na wao aje kibembea free? No thank you madame.
Kama wamekutuma waambie hivi "sweat for sweet men"
 
Waliambiwa watakula kwa jasho lao,si chakula peke yake...hata vile vinavyomeza wenzao.

haya nayo ni maajabu mengine ya dunia, tangu lini mwanaume akalia lia katika kutimiza majukumu yake? hebu watuache tipumue huko wakatafute hela, wanadhani kuitwa 'mwanaumel ni kuning'iniza kengele zao tu.
 
aisee mizinga haiwez isha..tatizo mwanaume anafanya kazi ya kuingiza jero halafu anataka mademu wakali! jifunze nawe kuhudumia km wenzio waliomfanya akawa mkali! halafu hizi mambo za kulia lia mizinga kwa wanaume humu ndani zikomee!
Pale mwanamme anapojiona jabali kwa kuhonga, sio akili hiyo ni ujuha, mwisho wanawapiga chini mnaanza kuwachoma visu kisa eti kakulia pesa.
Vya mjinga huliwa na mwelevu
 
Back
Top Bottom