Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!
Mchumba sikujua, uko desperate kuolewa? Hebu twende PM mara moja!
 
hapo sasa pengine hata jamaa hakupendi wewe umeanza kung'ang'ania na kumlazimishia kuwa na mtoto na wewe.

ingekuwa mimi ndo huyo mwanamme ...........ningeachana nae kwa muda kwanza japo kama nampenda ili kumfunza kuwa na busara.
 
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?

muache anywe tu. tumuanzishie sredi la michango. Nyammbaaf mweus!
 
Kazi ipo.Nao wanaume sometimes huwa wanachangia sana hali hii kwa wanawake.wanaume wengi huwa hawataki kuoa mpaka wa'test' kwanza(tena kutest mpaka mwanamke abebe mimba) ndipo wanakubali kuoa.Na wakitukuta wanawake tupo desperate na kuolewa ndio basi wanafanya watakavyo!

hivi hata akikuambia a test utamkubaliana bila japo uchumba kwanza?...akikuambia a test, na wewe mwambie tu testiane...ajitangaze nia huko, khaaaa....ana test kwa kutumbiza shs baharini?
 
uwiii nimecheka cna mbavu, halafu mwanaume wa kumlazimishia mambo haishi vituko wallaah, halafu hawanaga adabu wala aibu, matendo yake hayana tofauti na mwanaume single ambae bado anatafuta, akilala disc sawa, akirudi asubuhi sawa, watu wanapenda kujichomeka kwenye matatizo sana..

sasa aibu itoke wapi na wewe ndo ulijipendekeza?
utadharauliwa wewe na vituko hivyo ndo utakoma ubishi..........aah sisi bana sometimes agrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!
 
nashindwa kumuelewa mwanamke anayelazimisha mambo hadi anafikia hatua ya KUTEGESHEA.......

unajua nini mpwaaaz..
wanawake wa hivo hawafikiriagi kabisa FURAHA NA AMANI katika ndoa zao....!kwasababu mwanaume ukimfosi ki-hivyo lazima apige INFIDELITY
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

AMANI KWAKO CARMEL

Hapo nimekusoma ila hapa chini nimekusoma vizuri zaidi..

.SORTILEGIO!......

It is NOT true that everybody who gives you SHIT is a bad friend...
It is NOT true either,that everybody who takes you out of SHIT is a good Friend
It is VERY IMPORTANT that YOU MUST NEVER SHARE a SHIT with anybody when somebody gives you SHIT
 
nashindwa kumuelewa mwanamke anayelazimisha mambo hadi anafikia hatua ya KUTEGESHEA.......

unajua nini mpwaaaz..
wanawake wa hivo hawafikiriagi kabisa FURAHA NA AMANI katika ndoa zao....!kwasababu mwanaume ukimfosi ki-hivyo lazima apige INFIDELITY
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

AMANI KWAKO CARMEL

nikokota hela lazima nikununuliw lunch wewe
 
Ingekuwa Kaizer, Teamo,Xpin,Fidel ,Swahilian ,Mfamaji, mwanakijiji ,Askof na wengineo wengi mko katika hilistuation ya hilo goma mngechua hatua gani? from bottom of ur heart:A S-rose:

Hebu mnisaidie wajameni, huyu binti Egyps-women mbona kama? I mean sijui nisemeje manake kama mgeni sio mgeni au mi ndo nimekuwa mgeni uenyejini? Hebu do ze nidiful Egyps (off topi)
 
muda wa kunywa haujafika bado, atakunywa atakapoona jamaa anaona mwingine hadharani.

hahaaa kw araha zake........nani alimdanganya mtoto ndo mego wa ndoa malabuku

aleee mtoto sasa huku akisubiria bomu kulipuka afu sijui atasema jamaa alimvunja moyo ama alijibreki mwenyewe!!!!!!!!
 
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa..
Siku moja Binti kamuweka kitako Boyfriend na kumueleza hisia zakekamili kama anampenda sana na anapenda awe mme na baba wa watoto wake ..Jamaa akamwambia kila kitu kina muda ,na muda ukifika wataongea na kupanga yote haya...
Binti kaamua kubeba ujauzito bila kumwambia jamaa ,kasubiri unafikisha 7 month ndo akasema kijana kamtunza bila tatizo mpaka binti kajifungua.
Cha kushangaza sasa Binti anataka kuhamia kwa mwanaume na mwanaume amegoma ..Binti anatishia kunywa sumu.....anashinda analia na mtoto ana miezi miwili
Wadau hii imekaaje?
Inaskitisha kwa upande mmoja na upande mwingine inakasirisha.

Hatutakiwi kumponda tu huyu binti kwa maamuzi yake ila hata huyu mwanaume ni bonge la vuvuzela maana ni poyoyo na mboyoyo
 
muda wa kunywa haujafika bado, atakunywa atakapoona jamaa anaona mwingine hadharani.

hanywi sumu huyo anataka attention tu. tangu lini anaetaka kunywa sumu akampa habari FL1 bana? nazani anatafuta sababu ya kupewa kajimkopo na FL1 ndio maana kazisha VUVUZELA za kunywa sumu
 
hii ni tatizo la kuyaamusha mapenzi kabla ya wakati wake na kufuata jinsi tamaa za mwili wako zinavyo kuamulia, yeyote aongozwaye kwa mwili pasi na kuutawala mwili na kuuongoza daima athari zake ni kubwa baadaye, sasa hapo hatakiwi kujutia maamuzi kikubwa ashauriwe kuwa mtulivu na mvumilivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom