Kina Dada....nyoweni ama msinyowe nd'o swali?

Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.

Wanaume mwasemaje hapa?

2010-01-20-95841630.jpg

Miguu utadhani ya Beckham!
 
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda hali kama hiyo na hawataki kabisa yaondolewe...kipenda roho...
..Mazee, mimi ni mmojawapo wanaopenda hayo manyoya, tena napenda awe na tunywele kiasi kifuani kwenye kale kamfereji kanakotenganisha water melon zile..acha bana sie ndio tunajua utamu wa hiyo kitu. Yaani huyo Monique yuko vizuri sana hilo guu mazee...Ehh!!
 
....Haina hata haja ya kunyoa, dawa yake ni kuvaa vimini/short pants nywele zote zitapotea.
Ukiwa mzoefu wa kuvaa nguo ndefu lazima uwe na nywele kama hizi, tena sio kwa wanawake tu hata wanaume hutokea nywele kama hizi.
Hii hutokea hata kwenye mikono kama unapenda kuvaa nguo za long sleeve.
Mbona mimi nimejtahidi sana kutovaa makofia ya kuziba mashavu na midevu inazidi kukua?
Ama kuna jigine la kusogelea moto?
 
....Haina hata haja ya kunyoa, dawa yake ni kuvaa vimini/short pants nywele zote zitapotea.
Ukiwa mzoefu wa kuvaa nguo ndefu lazima uwe na nywele kama hizi, tena sio kwa wanawake tu hata wanaume hutokea nywele kama hizi.
Hii hutokea hata kwenye mikono kama unapenda kuvaa nguo za long sleeve.

nimekusoma pretty. Hana haja ya kunyoa after all hiyo ni nature na kwa wadada hiyo kitu inavutia sana wanaume hasahasa ikiwa kifuani...!!!
 
washkaji demu kaamua kuosha kwa sababu mguu unalipa sidhani kama vinyweleo ni issue. big up dada yangu mshukuru mungu kwa kukupa usafiri. ingekuwa kama ya swala asinge onyesha
 
Nani mwenye namba yake au email yake anipe jamani, maana mie ndo ugonjwa wangu:naona raha.
 
Mmemuona huyo shostito wa upande wakulia jamaniiiii!!!! Mguu kama kioo. Ukimshika huku umepaka losheni aaaaaaaaaaah very sooooooft like...... Duh nyie achani tu Huyo muachini tu atumie MAGIC POWDER au Gillete Blue.
 
Kuna baadhi ya wanaume wanapenda hali kama hiyo na hawataki kabisa yaondolewe...kipenda roho...
..Mimi mmoja wapo mkuu. Tena kama huyo Monique amenimaliza ana mguu umekamilika sio mchezo ukiongeza na hivyo vinwele yaani hapo ukipandisha juu ya mapaja kidogo tu unaweza kufanya mambo...nyie acheni tu!!
 
....Haina hata haja ya kunyoa, dawa yake ni kuvaa vimini/short pants nywele zote zitapotea.
Ukiwa mzoefu wa kuvaa nguo ndefu lazima uwe na nywele kama hizi, tena sio kwa wanawake tu hata wanaume hutokea nywele kama hizi.
Hii hutokea hata kwenye mikono kama unapenda kuvaa nguo za long sleeve.

Du afadhali nilifikiri hiyo kitu ni hormonal; nikaanza kumsikitikia binti yangu atakayezaliwa asibebe genes zangu maana nina uoto wa asili!
 
Duh, hii lakini inashtua..... inabidi uwe umeizoea hii miguu, kama ya Gatuso bwana!!!
 
Back
Top Bottom