Kina dada na kina mama wenye elimu ndogo huthamini sana nywele kuliko wale wasomi

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,832
7,484
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale waliosoma sana, wastani na kidogo.

Trendi inaonesha kuwa kadiri mdada anavyokuwa hajasoma ndivo akili yakeinawekeza kwenye nywele na kinyume chake. Hawa waliosoma na walio kwenye madaraka maofisini au kwenye siasa hawajali sana habari ya nywele.

Mfano, kina waziri Kombani, kina Migiro, Prof Misana, Kijo Bisimba,kina Tibaijuka, Bulaya etc. Nilitegeme hawa wenye uwezo wa gharama za saluni wangaliongoza kwa kugharamia nywele na mavazi.
 
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale waliosoma sana , wastani na kidogo. Trendi inaonesha kuwa kadiri mdada anavyokuwa hajasoma ndivo akili yakeinawekeza kwenye nywele na kinyume chake. Hawa waliosoma na walio kwenye madaraka maofisini au kwenye siasa hawajali sana habari ya nywele mfano kina waziri Kombani, kina Migiro, Prof Misana, Kijo Bisimba,kina Tibaijuka, Bulaya etc. Nilitegeme hawa wenye uwezo wa gharama za saluni wangaliongoza kwa kugharamia nywele na mavazi.

Hahahahahahahah....... You might be right in a way.....
 
Dk-Fenella-MukangaraWaziri-wa-Habari-Vijana-Utamaduni-na-Michezo.jpg na huyu waziri wa michezo, twende kilioni kila siku....... utajuaje kama wanatimiza masharti
 
Mkuu utafiti wako nakubaliana na wewe asilimia mia moja
 
Kuna mdada mmoja mwalimu yupo CoET mambo ya Telecoms na programming niliwahi kufanya nae kazi fulani, yeye haweki hata mafuta kichwani anazifunga tu zipo kiasili na anaonekana very cute
Mimi binafsi nachukia vitu vya kubandika
 
View attachment 226286na huyu waziri wa michezo, twende kilioni kila siku....... utajuaje kama wanatimiza masharti

Mkuu siamini kama hapo ndo umefikia mwisho wa kufikiria..!! Kwamba mtu ukiamua kuishi maisha fulani na style yako ya kipekee basi unatimiza masharti..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna mdada mmoja mwalimu yupo CoET mambo ya Telecoms na programming niliwahi kufanya nae kazi fulani, yeye haweki hata mafuta kichwani anazifunga tu zipo kiasili na anaonekana very cute
Mimi binafsi nachukia vitu vya kubandika

Ebwanaeee umenigusa sana mi kwanza nywele si sehemu nacosider mi macho ya mtu tena akikata nywele balaa. Sasa mtu akiniwekea mafasheni anagharimika bure yaani anatumia gharama kuondoa stimu
 
Kina dada wengi huamini kuwa mwonekano wao na thamani yao kiurembo ipo kwenye nywele zao. Hata hivyo utafiti wangu umebaini kuwa kuna utofauti mkubwa katika kuthaminisha nywele kati ya wale waliosoma sana, wastani na kidogo.

Trendi inaonesha kuwa kadiri mdada anavyokuwa hajasoma ndivo akili yakeinawekeza kwenye nywele na kinyume chake. Hawa waliosoma na walio kwenye madaraka maofisini au kwenye siasa hawajali sana habari ya nywele.

Mfano, kina waziri Kombani, kina Migiro, Prof Misana, Kijo Bisimba,kina Tibaijuka, Bulaya etc. Nilitegeme hawa wenye uwezo wa gharama za saluni wangaliongoza kwa kugharamia nywele na mavazi.

Umemsahau Naibu Waziri Fenela Mkangala na msuko wake wa twende kilioni hahahaaa.......
 
Ni suala la umri...huwez linganisha ulowataja na Wema Sepetu ki umri...

Pamoja na suala la umri mama Kombani umemuonea...namfahamu sana huyu mama tangu hata hajawa Waziri kwenye suala la nywele ni mkareee....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom