Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

Sasa kwa nini aseme sitaki wakati anataka?
Siyo hivyo tu,yeye anamlaumu aliyesema anataka wakati ana Boyfriend na wakati yeye alitaka huku ana mke,kama si double standards,basi hii stori ni ya paka na panya,haina ukweli wowote.Na kama ina ukweli,basi mwenye problem ni mleta mada.Ni bora angesema yuko kwenye utafiti.
 
Wewe si ndiyo umemtokea mwenzako? Umemtokea kakubali, halafu tena wewe mwenyewe unaanza kulaumu kuwa ni maji mara moja, ulitakaje sasa? Au ulikuwa unatishia nyau mwenzio kafungulia mbwa? Haya mzigo huo sasa sijui utaupeleka wapi! Kazi kwako na uwe makini na UKIMWI.

Na nyie akina dada, jaribuni kujiheshimu, wengine wanatishia tu kama huyu. Si kila unachoambiwa unakubali. Unamkubalije mtu wakati na wewe una bf wako? Kuweni makini!
Huyo atakuwa na mfadhaiko hana boyfriend wala nini maana angekuwa nae angejiheshimu na kumheshimu bfriend wake
 
Acha ushamba, MAMBO YA KIMJINI MJINI, KAMA UNATAKA WASEMA WAPEWA DOZIIII! KAMA HUTAKI BASI WASEMA ILA UTOTO WA KUSUMBUANA NOOOOO! KWANZA GAME ZA KIRAFIKI HAZINAGA COMMITMENT NI KUPUNGUZANA STRESS TU. TUMEPEWA BUREEE NA TUNAGAINA BUREEEEEEEEE! (Tahadhari Ukimwi waua!!!)
 
sioni sababu iliyokufanya uje huku, umemtaka mwenyewe yanini umkashifu???
 
Acha ushamba, MAMBO YA KIMJINI MJINI, KAMA UNATAKA WASEMA WAPEWA DOZIIII! KAMA HUTAKI BASI WASEMA ILA UTOTO WA KUSUMBUANA NOOOOO! KWANZA GAME ZA KIRAFIKI HAZINAGA COMMITMENT NI KUPUNGUZANA STRESS TU. TUMEPEWA BUREEE NA TUNAGAINA BUREEEEEEEEE! (Tahadhari Ukimwi waua!!!)

Nimeipenda sana hii..kuna siku ntakuvika nishani
 
Yani kweli sikuhizi wanawake nikama pipi tu unaenda dukani unanua unaondoka... Huwezi amini kuna dada nimekutana nae tu asubuhi nikachukua namba ya simu yake ..huwezi amini hadi muda huu ameshakubali kutoa k..bila ubishi dah.hata kusema sitaniki na ana degree yake kazi nzuri..yupo ofisi ya jirani na yangu ..
Mhh.... Na nimemwambia nina mkee asije akaganda na yeye kasema ana bf wake...

Pole weee, mwenzio anataka akukamatishe kwa mkeo, shauri yako. Kama unabisha mtafte akakupe K uone kama mkeo hajatimba humo hoteli au guest house au unapoendaga siku zote.
 
Hahahaaa.... Nimecheka sana baada ya kuona mleta mada alivyoshambuliwa...! Ndugu mleta mada tulia na mkeo tafadhali..!
 
Siku hizi ni kupeana tu..kaz kwenu wenye wapenz..wajanja wanamega wanaacha..adui wao HIV tuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Acha ushamba, MAMBO YA KIMJINI MJINI, KAMA UNATAKA WASEMA WAPEWA DOZIIII! KAMA HUTAKI BASI WASEMA ILA UTOTO WA KUSUMBUANA NOOOOO! KWANZA GAME ZA KIRAFIKI HAZINAGA COMMITMENT NI KUPUNGUZANA STRESS TU. TUMEPEWA BUREEE NA TUNAGAINA BUREEEEEEEEE! (Tahadhari Ukimwi waua!!!)

Naomba niku-PM bibie tuongee vizuri hapo kwenye red!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom