Kina dada jifunzeni kuwa na aibu.

Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?

mweleze huyoooo
 
huyo ndo anafaa,i love a woman who is confident in wat she does.sio mpka tugombane kwenye kumvua chupi
 
hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
 
Bora wale wasioona aibu kuna wale wanaojifanya wana aibu OGOPA huwaga balaa ni wazoefu mkiingia uwanjani wanaotea ile mbaya faulo kila dakika.
 
hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never
Hata kama utaingia utakuja sema hapa umeingia.
 
hivi wewe huoni aibu kwenda gesti? wewe na huo mlupo wako wote ni walewale iyo courage tu ya kuingia gesti mliyo nayo mnaweza hata kuvua nguo barabarani kabla hamjafika mkaziacha reception.
never on earth nitaingia gesti mimi
never

HUjawahi kusafiri?. Hivi ukisafiri unalala wapi?

Guest House = Nyumba za wageni
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.

Kwa hiyo we unapenda zile za kuvuana chupi kama mnawasha pikipiki? yani kwa miguu!!!
 
Maskrepa ya huku mjini hayana aibu wala adabu! Lishachojoa kabla yako! Hujakaa sawa ashaanza kuinyonya! Dah!!!! Stimu yote inakata! Raha ya mwanamke akatae katae!!!!
 
..bahat mbaya tu hatuwezi wapata warembo wa JF....tungehakikisha msemayo
....mwanamke kaumbiwa aibu hasa ktk siku ya kwanza...
 
Kati ya matendo yatakayokufanya uonekane mhuni ni pale mdada unapoingia faragha kwa mara ya kwanza na mpenzi wako, then gafla unakuwa wa kwanza kuvua na kubaki mtupu. Kama uko kwenye biashara sawa, au kama mmeshazoeana na si mara kwanza najua wengi wakifika faragha wanapenda kwenda kujisafi kwanza. Lakini unakuta ni mpenz, halafu mara ya kwanza, kila mmoja ana shauku na mwenzie, then mkiingia gest, ile tu unarudishia mlango ukigeuka unamkuta yupo kama alivyozaliwa! Hata ham inaisha.
Mheshimiwa, wanawake ni wanadamu, umeshamsema mna shauku sasa kwanini udhani wewe unashauku zaidi yake.

Kumkuta kama alivyozaliwa inategemea unaonaje wewe. Wengine shurti aone dodo ndiyo aingie sokoni.
Hata kwenye mpira si watu wana 'troti' kwanza kabla ya mechi! kwanini uone timu pinzani hawana haki.
 
Raha ya demu umvue mwenyewe, Yaani una unveil one thing at a time up to the final piece. Akisha reveal all too soon anaboa, Haswa kama mbaya. Ukimvua mwenyewe ukiona kifua kibaya unajipa moyo labda mambo chini ya kitovu tight, nako ukitoa ukaona ovyo unamturn taratiibu kucheki labda makalio yana uafadhali.
Ukigeuka ukakuta one whole ugly piece lazima hamu iishe. Haya akina dada mmeelewa somo?
 
Kila siku mnakuja na nyuzi ooh, hamuolewi. Mnadhan wanaoolewa wanatumia kizizi.
 
kwanza siyo ex wangu huyo?coz miye kwangu nina zero tolerance rule,hamna kuvaa nguo tukiwa room either tunasex or not,so mademu zangu wameshazoea wakifika tu room wanachojoa.inawezekana unakula vyangu vya zamani,na wewe mfundishe to keep her clothes on
 
Unachekesha.
Msichana mwenyewe ushampeleka gesti. . .aibu ya nini?
Kama unataka AIBU mpeleke kwako kuonyesha na wewe unamheshimu. Sio unampeleka sehemu ambayo ni maalum watu kungonoka alafu unadai sio biashara. Si wote mnajua mlichofuata pale? Ya nini kupotezeana muda sasa?
Thanks Lizzy for this useful post.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom