Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

sahihi

Member
Aug 13, 2012
26
2
Jamani muda si mrefu nilipata kujuana na dada mmoja, lakini kadri siku sinavyo enda nahisi mabo yanabadilika na kunifanay nisijue la kufanya nisije fanay makosa. Huyu dada kwanza ameanza kunipia heshima tofauti na mwanzo, pia nikiwa na tatizo anataka alitatue hata kwa gharama yoyote. Vitu vyake anapenda nimfanyie, na ansema hakuna mwingine anaye weza kuvifanya.

Kitu chochote muhimu anachoo fanya lazima anipe taarifa na kuomba ushauri. Mara nyingine nahisi kama sinfanyie haki kama sita mtendea kama yeye anavyo nifanyia. Pengine ni mwanzo wa safari ile njema japo inaweza kuniumiza kama ikitokea kuwa mawazo yangu ya kijinga ya kufikiri amenipenda yaka si kweli.

Swali ivi wadada mkiwa mmezimikiwa na mtu ni viashiria gani huwa mnaonyesha kama indicator ya kuomba njia. Pengine na mimi nitasaidika hapa.

Asanteni
 
kuna maneno umeyakoroga koroga hapo nimeshindwa kuelewa vizuri, ngoja tu wengine waje
 
Ni wachache sana wanaopata hii bahati ya kushirikishwa. Anakuthamini na kukujali. Dont wait any more, grab that opportunity if all other factors are constant.
 
jaribu kumueleza hisia zako kama ni muelewa hata kama hakupendi atakujibu kistaarabu life litaendelea,kwa viashiria hivyo ni kama anakupenda jarib bahati yako ''in trying there are 2 possibilities(gain&loss)but failure of trial z always loss''
 
Sahihi,
hiki chaweza kuwa kiashiria sahihi lakini kuangukia pua nako lazima ufikiiria
 
Acha kuishi kwa hisia bro..mfungukie
Ukitaka kujua kama anakupenda au lah..jifanye unampigisha stori zinazomhusu demu wako (hata kama huna)..
Jaribu kujifanya kana kwamba kuna mdada anakusumbua..'repercussion' yake itakupa jibu..na unaweza kuendelea kuanzia hapo!!
 
sikiliza mzee asilimia themanini unakaribia kukokota zigo lakini samahani vuta subira kidogo kaka kama amekushirikisha kwa yote inamaana hatasita kukuomba soseji mwenyewe.vuta subira na niamini na utafaidi kabla ya siku ya idi goodluck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom