Kina Dada, "Are you Mom enough?"...Wanaume najua mtatia chabo tu!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kwa hisani ya Time Magazine....

Mjadala ni kuhusu bonding with your kids and how much should you do it!

o-TIME-MAGAZINE-570.jpg

attachment_parenting_time_050612_46041_f.jpg

3_attachment_parenting_time_050612_45588_f.jpg

In the provocative new cover story of its May 21 issue, TIME Magazine taps into a two-decade-long parenting conversation that has boiled over in recent months. Journalist Kate Pickert reports on the rise of attachment parenting, a set of techniques popularized by Dr. William (Bill) Sears in "The Baby Book," his 767-page treatise published in 1992.

In the article, Pickert explores who Sears is and why controversy surrounds his theories -- specifically baby-wearing, extended breastfeeding and co-sleeping -- but it's TIME's photographs of real mothers breastfeeding their toddlers that has everyone talking. (Scroll down for reactions on Twitter.)

The cover shows Jamie Lynne Grumet, a slim blonde 26-year-old California mom, breastfeeding her 3-year-old son. TIME photographer Martin Schoeller also shot three other families on the same day.

Breast-Feeding Photos: TIME Cover on Attachment Parenting - LightBox
 
This is serious... kuna watu wanaoga na watoto wao, a mom with her 5 year old boy/girl, having a foam bath. Or these "artistic" pictures...
73281.jpg
 
wazungu bwana na najaribu kufikiri niingie bafuni kuoga na mwanangu wa miak 5 tena nikiwa na mimba .......lol ......manake nakumbuka nilipokuwa mjamzito aliwah kuniuliza mama mbona wewe tumbo lako kubwa sana? nikammjibu nakula sana ugali na hapo analiona likiwa kwenye nguo likiwa wazi si kasheshe................mmh! au je akiona kwa bibi si atasema kichwa kingine duh......... binafsi siwez.
 
1st Lady, usinyoyeshe hadharani plz take my advice, mimi nimesema hazina mvuto.
SIMBA WA TARANGA

MIE NATUPIA KITENGE KUFUNIKA MANYONYO MTOTO ANAPATA HAKI YAKE..HIVI KAMA MTOTO ANALIA KWENYE DALADALA NA MKONO ANAPELEKA KWENYE NYONYO SI UTAELEWA KABISA MTOTO ANATAKA CHAKULA ..UTAMWACHA ALIE MPAKA UFIKI HOME ,,,
MTOTO ANA HAKI YA KUTHAMINIWA :A S wink:
 
Last edited by a moderator:

Kula tano mama na huu ndo uanamke na umama kama umeamua kuzaa be at it in full come wat may.........na nimependa pia unajihifadhi............hawa masista duu wa cku hiz hii mambo hawawezi.....

@simba wa taranga

Mkuu are you a father..............can you stand to see your child crying eti kwa kuwa mama hawezi mnyonyesha kuna watu???? Mimi nikitoka nao lazima mtandio au chochote kiwe hapo........imagine mtoto kapata prick for B/s kilio yake ni mpaka nyonyo tuuu.....hapo mnafanyaje na mpo OPD??????
 
wazungu bwana na najaribu kufikiri niingie bafuni kuoga na mwanangu wa miak 5 tena nikiwa na mimba .......lol ......manake nakumbuka nilipokuwa mjamzito aliwah kuniuliza mama mbona wewe tumbo lako kubwa sana? nikammjibu nakula sana ugali na hapo analiona likiwa kwenye nguo likiwa wazi si kasheshe................mmh! au je akiona kwa bibi si atasema kichwa kingine duh......... binafsi siwez.

Kina mama na kina baba kweli tuache mchezo wa kuoga na kulala na watoto wetu hasa kuanzia 3 years!My friend mwanae aliona kule kwa bibi kwa bahati mbaya, basi siku walikuwa wanakula chakula wakiwemo wageni, mtoto akaropoka ' Eti baba, mbona mimi sina vichwa viwili?' Baba akamwambia mbona wote hapa tuna kichwa kimoja?We umeona wapi mtu ana vichwa viwili?' Dogo akasema, ' Mbona jana nilimuona mama anakichwa kingine huku katikati ya miguu?' Mama ilibidi azimie kwa statement hiyo!
 
SIMBA WA TARANGA

MIE NATUPIA KITENGE KUFUNIKA MANYONYO MTOTO ANAPATA HAKI YAKE..HIVI KAMA MTOTO ANALIA KWENYE DALADALA NA MKONO ANAPELEKA KWENYE NYONYO SI UTAELEWA KABISA MTOTO ANATAKA CHAKULA ..UTAMWACHA ALIE MPAKA UFIKI HOME ,,,
MTOTO ANA HAKI YA KUTHAMINIWA :A S wink:

Mjadala wangu unaanzia hapo kwenye bold.
Akina mama wa siku hizi, hope FirstLady1, ni mmojawao, wako addicted sana na kazi kiasi kwamba kunyonyesha mtoto hata kwa waka mmoja na nusu ni shida. Nimeshangaa na nimependa sana jindi huyo mama kwenye picha anavyonyonyesha mtoto wa miaka mitatu, ilhali wake zetu ambao wako busy kutafuta shilingi wananyonyesha sana sana ikizidi ni mwaka mmoja. Hili nalo si haki kwa mtoto, tunamnyanyasa mbele ya haki yake. Wataalamu wa UMATI wanashauri kwamba mtoto ni vema akanyonya hadi umri wa miaka miwili na nusu. Hilo la kwanza.
La pili, upendo wa watoto kwa wazazi unapungua hususan tunapowaachia mayaya (housemaids/girls) kuwalea kwa muda mrefu, huku sisi tukiwa busy kutafuta shilingi, nadhani hili nalo linahitaji thread yake. Niishie hapa.
 
Idimi
Mbona umeongea mwisho wa siku hujatoa maoni yako na ushauri kwa kina mama?
 
Last edited by a moderator:
SIMBA WA TARANGA

MIE NATUPIA KITENGE KUFUNIKA MANYONYO MTOTO ANAPATA HAKI YAKE..HIVI KAMA MTOTO ANALIA KWENYE DALADALA NA MKONO ANAPELEKA KWENYE NYONYO SI UTAELEWA KABISA MTOTO ANATAKA CHAKULA ..UTAMWACHA ALIE MPAKA UFIKI HOME ,,,
MTOTO ANA HAKI YA KUTHAMINIWA :A S wink:

Vizuri sana FL,si aibu kumnyonyesha mtoto wangu,cha msingi nijifunike.
 
Idimi
Mbona umeongea mwisho wa siku hujatoa maoni yako na ushauri kwa kina mama?

Provided wako tayari kuupokea, ningeshauri kwamba, akina mama wanyonyeshe watoto angalau kwa miaka miwili. Najua wanaweza kusema kazi zinawabana (hasa hawa wa mijini), lakini kazi huwa haziishi, tutafanya hadi tunaingia kaburini, mtoto kwanza, kazi later.
 
Kwa hisani ya Time Magazine....

Mjadala ni kuhusu bonding with your kids and how much should you do it!

o-TIME-MAGAZINE-570.jpg

attachment_parenting_time_050612_46041_f.jpg

3_attachment_parenting_time_050612_45588_f.jpg

In the provocative new cover story of its May 21 issue, TIME Magazine taps into a two-decade-long parenting conversation that has boiled over in recent months. Journalist Kate Pickert reports on the rise of attachment parenting, a set of techniques popularized by Dr. William (Bill) Sears in "The Baby Book," his 767-page treatise published in 1992.

In the article, Pickert explores who Sears is and why controversy surrounds his theories -- specifically baby-wearing, extended breastfeeding and co-sleeping -- but it's TIME's photographs of real mothers breastfeeding their toddlers that has everyone talking. (Scroll down for reactions on Twitter.)

The cover shows Jamie Lynne Grumet, a slim blonde 26-year-old California mom, breastfeeding her 3-year-old son. TIME photographer Martin Schoeller also shot three other families on the same day.

Breast-Feeding Photos: TIME Cover on Attachment Parenting - LightBox
wote ni waigizaji tu,wamejiweka tayari kwa ajili ya matangazo!
 
Back
Top Bottom