Kina barrick wapinga sheria mpya ya madini!

Tuna kesi nzuri sana dhidi ya hawa wezi hata katika mahakama za Kimataifa tutashinda maana huku siyo kuinvest bali ni kuiba. Tukakusanye ushahidi wa mikataba ya wenzetu ya uchimbaji wa madini yao kule Ghana, South Africa na Botswana na mikataba hiyo yote ina maslahi na nchi za wenzetu. Kama hawa wezi hawataki kutii sheria zetu za uwekezaji basi wamwage FFU katika machimbo yote ya madini na hakuna kuendelea kuchimba mpaka wakubali au wafunge virago vyao na asilimia kubwa ya Watanzania wataunga mkono uamuzi kama hao kwa nderemo na vifijo. Wakati umefika sasa wa kutetea maslahi ya nchi yetu bila woga wa aina yoyote ile.
 
Nakubaliana na wanaosema tunakosa uongozi "wenye kuthubutu" ..... we need someone mwenye balls; anayeweza kufutilia mbali hii mikataba na kuanza upya; mtu mwenye nia ya kuondoa huu wizi wa mchana wa saa saba, ambao hauhitaji tochi ili kuubaini .... yes, we need a Hugo Chavez!
 
Jamani hivi viongozi wetu wanavyoawaangukiaga wwezi hawa kweli mnaamini jambo hili lita stand?
Mie sijaona sheria yenyewe hivi inasemaje kuhusu misamaha ya kodi kwenye mafuta, spares etc?
 
Tatizo serikali yetu ilifanya uwekezaji kiushikaji, that the factor/area ambayo tutamlaumu Mkapa mpaka aende kaburini.
 
Back
Top Bottom